Mkongwe huyu wa JF mbona anapoteza attention kwa kasi hivi?

WhoWebe? We become fools/idiots if/when we start discussing people with anonymous IDs
Kweli we ni fool; humu tunadiscuss kianonymous hivyo hivyo. Humu we unafahamika km Mr Q nami kama WhoWeBe, tunakutana hukohuko ndani ya anonymity.....na huko, none of us is anonymous!!!
 
Mi ni si ME tu, bali ME zaidi na mkeo inawezekana ananijua vizuri tu ndo maana hukumkuta bikra

Hata hivyo mimi sijazungumzia likes we mbwiga, nimezungumzia views!!
 
Mi ni si ME tu, bali ME zaidi na mkeo inawezekana ananijua vizuri tu ndo maana hukumkuta bikra

Hata hivyo mimi sijazungumzia likes we mbwiga, nimezungumzia views!!
Wewe ni punguani na huna akili,hujielewi choko wewe,
Ndio maana unaanzisha uzi unataka huyo mleta mada mkongwe asaidiwe bila kuweka ID yake hapa,hujioni kua huna akili timamu? atasadiwaje mtu asiyejulikana?

Tafuta kazi yakufanya,acha kufuatilia thd sijui ina wachangiaji wangapi au likes ngapi,toka hapo kwa shemeji yako unapokula bure ili japo akili yako iondokane na fikra ya utegemezi,ukiwa na majukumu utaacha kuwaza huu upumbavu uliouwasilisha hapa.
 
😄😄😄😄😄

Pole mkuu, lakini sababu ya kutomkuta bikra ndo hiyo mkuu!!
 
mkongwe bado sijakujua.

Nitarudi baadae!
 
Na katika mada hiyo kuna comments chache sana zinazotolewa na yeye mwenyewe tu na 'rafiki zake' wachache......wanazunguka tu wenyewe kwa wenyewe,
Yupo mmoja tu, naye ni yule yule tu na huyu🤓🤓😌huyu... ati sie huwa tunazunguka zunguka tu tunapeana likes na comment, Wacha!



Wapo WWB kama wanne hivi. Sio kina nani, bali ndio kina WWB. Kila ikiwapendeza, kama hivi ilivyotokea huwa wanatajana(anajitaja) naukiona kuna ka member kapya ujue anapewa ujiko hapo.

Wana magegenge bana😌😌😌. Tag Teams
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…