Mkongwe huyu wa JF mbona anapoteza attention kwa kasi hivi?

Unaona mada ipo kwenye jukwaa la chit chat na jokes. Maana yake, mleta mada analeta vichekesho na porojo, wewe tafuta gahwa na kashata, changia upendavyo na yeyote utaemfikiria ndiyo yeye huyo. Ni jiwe la kizani.
Pole sana
 
Kala ban πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huyu mpaka mwezi wa 10 ndio anarudi humu
Sawa leo ni Mwezi wa Kumi ( October ) tarehe 17 mwaka 2023 GENTAMYCINE nimerudi kutoka kuwa BANNED kama ulivyosema. Hongera kwa kuwa Mtabiri mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…