Uchaguzi 2020 Mkono wa beberu Amsterdam, wapinzani kushindwa kuungana umesababisha CCM kukosa upinzani madhubuti

Uchaguzi 2020 Mkono wa beberu Amsterdam, wapinzani kushindwa kuungana umesababisha CCM kukosa upinzani madhubuti

Unawasilisha UPUUZI?
Unadhani kwanini huyo anayejiita KICHAA anahofia kura kuhesabiwa hadharani? Au Watanzania kila jimbo kulinda kura zetu?

Acha KUROPOKA upuuzi.
Bak, tulia mkuu, utaona tl atakavyohuzunika. Uzi huu utaukumbuka
 
Angalieni hayawani mwingine huyu!
Sasa Kama maccm si wezi wa kura kwanini Mkapa alionyesha hadharani kukosa imani na hao wahuni wa tumeccm? 😳

View attachment 1558524
Usiwe na hofu mkuu, watu wana jambo lao, hata trump anahofu hiyo, nikawaida kwa wanasiasa lialia wasiojiamini
 
Umeandika HEKAYA ndefu , nakujibu kifupi tu.
Mwaka 2019 Serikali ya kidhalimu ya CCM ilitunga sheria ya Uchaguzi, inataka kama mnaungana kutoa taarifa kwa msajili, na sababu za kujiunga, na msajili ana mamlaka ya kukubali ama kukataa, na anaweza kuwakatalia hata siku moja tu kabla ya siku ya uchaguzi/kuwasilisha majina ya wagombea.
Kwani chief, act na cdm si walikuwa na ubia huo? Na zitto aliwahakikishia watz kuwa watasimamisha 1, nini kilitokea thereafter?
 
Acha ujinga wewe! Unadhani kwanini Watanzania tunaojitambua hatuna imani na tumeccm

1599236175595.jpeg




Bak, tulia mkuu, utaona tl atakavyohuzunika. Uzi huu utaukumbuka
Usiwe na hofu mkuu, watu wana jambo lao, hata trump anahofu hiyo, nikawaida kwa wanasiasa lialia wasiojiamini
 
Mabeberu ni kina nani?
Kama ni UK,au US,mbona tuna balozi zao japa?
Fungeni balozi zao Kama mna ubavu,
 
Mi naomba uanzishwe uzi ili tumjue huyo Amsterdam haswa ni nani?
 
Acha ujinga wewe! Unadhani kwanini Watanzania tunaojitambua hatuna imani na tumeccm

View attachment 1558546
Hata iweje mkuu, kwa upinzani huu wa bongo na unaokosa dira kila awamu ya uchaguzi, hauwezi kushinda. Wapi na wapi tz tunaanza kuwa na wagombea 100% vibaraka? Hii mbegu imetoka wapi? Inapaswa kukemewa kwenye sanduku na iwe fundisho kwa vyama vingine vya siasa.
 
He is a dangerous creature duniani by orchestrating chaos kwenye nchi mbalimbali
 
Ni ZERO BRAIN tu ndiyo anaweza kuandika pumba kiasi hiki,

Hata iweje mkuu, kwa upinzani huu wa bongo na unaokosa dira kila awamu ya uchaguzi, hauwezi kushinda. Wapi na wapi tz tunaanza kuwa na wagombea 100% vibaraka? Hii mbegu imetoka wapi? Inapaswa kukemewa kwenye sanduku na iwe fundisho kwa vyama vingine vya siasa.
 
NA TUNDU LISSU KAIACHA FAMILIA YAKE UNELGIJI HALAFU ANAKUJA KUTUTIBULIA MAISHA YETU HUKU?

WATAKALISHWA CHINI OCTOBA 28
Ndiyo ujue nia ya mnafiki ilivyo.
 
Hiyo sala ya kinafiki wala haifiki popote zaidi ya kudakwa na shetani. Unadhani aliyetuumba anapendezwa na magenge ya kihalifu yanayofadhiliwa na chama cha kijani? Unadhani aliyetuumba anapenda dhuluma kama mnazowafanyia wagombea wa upinzani, kuwaengua ili mbaki peke yenu? Unadhani aliyetuumba anapenda kuwabambikizia watu kesi? Sala yako itafika haraka zaidi na kupokelewa na shetani maana mnafanana tabia.
 
Na hii ndo think tank ya Lumumba buka 7
 
Safari hii wizi wa kura jumuiya za kimataifa zinawaangalia kwa kila hatua Jiwe na hai jeshi la akiba jiangalie utenda the Hague unachopanga walishajaribu zamani.
Screenshot_20200903-161200.png
 
Safari hii wizi wa kura jumuiya za kimataifa zinawaangalia kwa kila hatua Jiwe na hai jeshi la akiba jiangalie utenda the Hague unachopanga walishajaribu zamani.View attachment 1558609
Huyu mwendawazimu atabaki kubwabwanja tu, apambane na hali yake ubeligiji, mbona kufuatilia mambo ya nchi za watu?
 
Kwanini mgombea wa ccm hastahili kupewa tena kura zetu?

Sababu za kutompa kura zetu mgombea wa ccm ni hizi zifuatazo.

1. Mauaji ya raia wasio Na hatia,

2. Umeendesha nchi kikabila na kikanda,

3. Umeshiriki katika ufisadi wa kununua ndege nk kama sio kweli tupe mikataba ya ununuzi.

4. Umewatesa sana waliokukosoa mfano hai TUNDU LISU na MDUDE CHADEMA.
Unamanisha kibaraka TL? Kazi unayo mkuu
 
Matusi yann kaka?

Lijuakali alielezea vizuri in details.. who did it na nani aliwatuma na how they did it..

Niweke link kaka kama hujaiona?[emoji3][emoji3]

povu ruksa... kilio chaja....
Angalieni hayawani mwingine huyu!
Sasa Kama maccm si wezi wa kura kwanini Mkapa alionyesha hadharani kukosa imani na hao wahuni wa tumeccm? [emoji15]

View attachment 1558524
 
ila ZUZU wewe kauli za huyo anayejiita KICHAA hujawahi kusikia siyo? 😳


Povu la nini mkuu bak, shy, tbr and Dom zimetuma salaam, na hiyo ndiyo tz ninayoijua mm, huwa hawataki viongozi akina tl.
 
Back
Top Bottom