Uchaguzi 2020 Mkono wa beberu Amsterdam, wapinzani kushindwa kuungana umesababisha CCM kukosa upinzani madhubuti

Uchaguzi 2020 Mkono wa beberu Amsterdam, wapinzani kushindwa kuungana umesababisha CCM kukosa upinzani madhubuti

Bora hawa kuliko yule anataka achaguliwe kisha aongoze kwa matakwa ya beberu wake
Hakika.
JamiiForums901192794_540x416.jpg
 
Unaota wewe
Ulisikiliza nondo za dakika 45 ITV.
Kuunganisha vyama vya upinzani Kuna mitego mingi sana. Hakuna Jambo linalofanywa na TUNDU LISSU kwa bahati mbaya. Kile kichwa sawa na akina Kalamaganda kuburi 50.
Hiyo mitego 2015 hakuiona?

Aseme tu mwaka huu hakuna alieweka dau mezani
 
Hiyo mitego 2015 hakuiona?

Aseme tu mwaka huu hakuna alieweka dau mezani
Mmeshindwa kufikia dau kwa Halima Mdee akawaumbua, sembuse Lissu. Hadi mkaamua kumpiga risasi.
 
Umeandika HEKAYA ndefu , nakujibu kifupi tu.
Mwaka 2019 Serikali ya kidhalimu ya CCM ilitunga sheria ya Uchaguzi, inataka kama mnaungana kutoa taarifa kwa msajili, na sababu za kujiunga, na msajili ana mamlaka ya kukubali ama kukataa, na anaweza kuwakatalia hata siku moja tu kabla ya siku ya uchaguzi/kuwasilisha majina ya wagombea.
Jibu jepesi kama alivyo Lusu mwenywe
 
Nakuwekea kweli tupu unasema povu? Akili za wapi hizi? Huyu bibi ana akili kuliko ZWAZWA wewe.

Povu la nini mkuu bak, shy, tbr and Dom zimetuma salaam, na hiyo ndiyo tz ninayoijua mm, huwa hawataki viongozi akina tl.
 
Mmeshindwa kufikia dau kwa Halima Mdee akawaumbua, sembuse Lissu. Hadi mkaamua kumpiga risasi.
Kwamba Mdee angefikia dau ndio chadema na wapinzani wengine mngeungana?
 
Nakuwekea kweli tupu unasema povu? Akili za wapi hizi? Huyu bibi ana akili kuliko ZWAZWA wewe.

Mwambie huyo Ngurumo amfikishie ujumbe yule beberu wenu kwamba ameshakwama tayari.
 
Ni ZWAZWA tu ndiye anayeweza kumuamini ZWAZWA mwenzie. Hata ndani ya maccm HAKUBALIKI wamempiga chini kwa kishindo kikubwa.

Matusi yann kaka?

Lijuakali alielezea vizuri in details.. who did it na nani aliwatuma na how they did it..

Niweke link kaka kama hujaiona?[emoji3][emoji3]

povu ruksa... kilio chaja....
 
only wajawazito ndio hutumia lugha chafu bila umuhimu...

hongera [emoji3][emoji3][emoji3]
Ni ZWAZWA tu ndiye anayeweza kumuamini ZWAZWA mwenzie. Hata ndani ya maccm HAKUBALIKI wamempiga chini kwa kishindo kikubwa.
 
Mkuu, uliona mkutano wa tl shy, tbr na Dom? Hii ni salamu tosha kwa tl, watz hawataki ukibaraka hata kidogo. Kazi za Magu watu wanazijua na wanatamani akimaliza miaka hii 5, aongezewe mingine.
Hujui siasa..hiyo mikoa ni ya CCM na ndiyo inaongoza kwa umasikini..Ngoja Lissu atue Kagera na Ntwara..patachimbika
 
Hujui siasa..hiyo mikoa ni ya CCM na ndiyo inaongoza kwa umasikini..Ngoja Lissu atue Kagera na Ntwara..patachimbika
Wewe wa ajabu sana, kibaraka wako unafikiri ataamburia kitu gani? Utaona kwenye sanduku mkuu
 
Mwambie huyo Ngurumo amfikishie ujumbe yule beberu wenu kwamba ameshakwama tayari.
Wewe mwenyewe unatumia ARV za munayemuita BEBERU, Mkeo akichepuka anapigwa mashine na jamaa kavaaa "ndom" ya BEBERU, cha dharau, heshimu watu wote.
 
Wewe mwenyewe unatumia ARV za munayemuita BEBERU, Mkeo akichepuka anapigwa mashine na jamaa kavaaa "ndom" ya BEBERU, cha dharau, heshimu watu wote.
Tatizo lake hujui ni maana ya beberu mkuu. Na mwaka huu ndo itakuwa fundisho kwao, kama tulivyowafundisha kwenye korona, tutawafundisha kwenye uchaguzi huu pia, na watajua kuwa tz is a free country and no longer a colon. Ukikuta beberu anakupatia hizo mambo for free, jua what he get from you is 100% plus. Na uchaguzi huu ni wakupiga mkoloni na kibaraka wake.
 
Okay Kwahiyo CONDOM unazopewa bure , Mkono Sweta uliokatwa na watu wa Marekani na ARV ndugu zako wanaozitumia kwa gharama za watu wa Marekani ndio leo unawaita mabeberu?

Huu ni zaidi ya ubaguzi tunaouona huko Ulaya
 
Back
Top Bottom