Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Bora hawa kuliko yule anataka achaguliwe kisha aongoze kwa matakwa ya beberu wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora hawa kuliko yule anataka achaguliwe kisha aongoze kwa matakwa ya beberu wake
Hakika.Bora hawa kuliko yule anataka achaguliwe kisha aongoze kwa matakwa ya beberu wake
Hiyo mitego 2015 hakuiona?Unaota wewe
Ulisikiliza nondo za dakika 45 ITV.
Kuunganisha vyama vya upinzani Kuna mitego mingi sana. Hakuna Jambo linalofanywa na TUNDU LISSU kwa bahati mbaya. Kile kichwa sawa na akina Kalamaganda kuburi 50.
Mmeshindwa kufikia dau kwa Halima Mdee akawaumbua, sembuse Lissu. Hadi mkaamua kumpiga risasi.Hiyo mitego 2015 hakuiona?
Aseme tu mwaka huu hakuna alieweka dau mezani
Jibu jepesi kama alivyo Lusu mwenyweUmeandika HEKAYA ndefu , nakujibu kifupi tu.
Mwaka 2019 Serikali ya kidhalimu ya CCM ilitunga sheria ya Uchaguzi, inataka kama mnaungana kutoa taarifa kwa msajili, na sababu za kujiunga, na msajili ana mamlaka ya kukubali ama kukataa, na anaweza kuwakatalia hata siku moja tu kabla ya siku ya uchaguzi/kuwasilisha majina ya wagombea.
Povu la nini mkuu bak, shy, tbr and Dom zimetuma salaam, na hiyo ndiyo tz ninayoijua mm, huwa hawataki viongozi akina tl.
Kwamba Mdee angefikia dau ndio chadema na wapinzani wengine mngeungana?Mmeshindwa kufikia dau kwa Halima Mdee akawaumbua, sembuse Lissu. Hadi mkaamua kumpiga risasi.
Mwambie huyo Ngurumo amfikishie ujumbe yule beberu wenu kwamba ameshakwama tayari.Nakuwekea kweli tupu unasema povu? Akili za wapi hizi? Huyu bibi ana akili kuliko ZWAZWA wewe.
Matusi yann kaka?
Lijuakali alielezea vizuri in details.. who did it na nani aliwatuma na how they did it..
Niweke link kaka kama hujaiona?[emoji3][emoji3]
povu ruksa... kilio chaja....
Ni ZWAZWA tu ndiye anayeweza kumuamini ZWAZWA mwenzie. Hata ndani ya maccm HAKUBALIKI wamempiga chini kwa kishindo kikubwa.
Hujui siasa..hiyo mikoa ni ya CCM na ndiyo inaongoza kwa umasikini..Ngoja Lissu atue Kagera na Ntwara..patachimbikaMkuu, uliona mkutano wa tl shy, tbr na Dom? Hii ni salamu tosha kwa tl, watz hawataki ukibaraka hata kidogo. Kazi za Magu watu wanazijua na wanatamani akimaliza miaka hii 5, aongezewe mingine.
Wewe wa ajabu sana, kibaraka wako unafikiri ataamburia kitu gani? Utaona kwenye sanduku mkuuHujui siasa..hiyo mikoa ni ya CCM na ndiyo inaongoza kwa umasikini..Ngoja Lissu atue Kagera na Ntwara..patachimbika
Wewe mwenyewe unatumia ARV za munayemuita BEBERU, Mkeo akichepuka anapigwa mashine na jamaa kavaaa "ndom" ya BEBERU, cha dharau, heshimu watu wote.Mwambie huyo Ngurumo amfikishie ujumbe yule beberu wenu kwamba ameshakwama tayari.
Tatizo lake hujui ni maana ya beberu mkuu. Na mwaka huu ndo itakuwa fundisho kwao, kama tulivyowafundisha kwenye korona, tutawafundisha kwenye uchaguzi huu pia, na watajua kuwa tz is a free country and no longer a colon. Ukikuta beberu anakupatia hizo mambo for free, jua what he get from you is 100% plus. Na uchaguzi huu ni wakupiga mkoloni na kibaraka wake.Wewe mwenyewe unatumia ARV za munayemuita BEBERU, Mkeo akichepuka anapigwa mashine na jamaa kavaaa "ndom" ya BEBERU, cha dharau, heshimu watu wote.
Tatizo lake hujui ni maana ya beberu mkuu. Na mwaka huu ndo itakuwa fundisho kwao, kama tulivyowafundisha kwenye korona, tutawafundisha kwenye uchaguzi huu pia, na watajua kuwa tz is a free country and no longer a colon. Ukikuta beberu anakupatia hizo mambo for free, jua what he get from you is 100% plus. Na uchaguzi huu ni wakupiga mkoloni na kibaraka wake.