Mkono wangu umevimba ghafla. Tatizo ni nini?

Ni mwaka sasa tokea uvimbe huu unitokee kwenye mkono wangu, japokuwa ulitokea ghafla, hauna maumivu yoyote hadi sasa

Shida inaweza kuwa nini?View attachment 2930101View attachment 2930103
Bila kushika na kuona kama ni uvimbe laini au mgumu, unaotembea kirahisi, si rahisi kusema kwa uhakikika ni kitu gani.

Ila kwa maelezo yako yaweza kuwa ni :
1: Lipoma (mafuta).

2: Ganglion cyst (uvimbe kutokana na mishipa ya fahamu).

3: Bone cyst (uvimbe kutolana na mfupa).

Hakuna tiba mbadala kwa hali namba 1 na 3 ila upajuaji, kuna utofauti wa jinsi ya kufanya upasuaji husika.

Namba 3, huweza kupotea yenyewe au kupasua pia.

NB: Kutokana na eneo ulipo, ni vyema kumhusisha daktari bingwa wa upasuaji au mifupa, ili kutoleta madhira kwenye mishipa ya damu au fahamu ya eneo husika.

Tofauti na hapo uwe na uhakika wa uzoefu wa mhusika kwenye eneo la upasuaji.
 
Kutoa Lupus au Lipoma ngazi yoyote wanatoa kuanzia Primary Health care mpaka Tertially Ni Uelewa wa Daktari Kuhusu Anatomy na kama Hakufeli somo Masomo ya Surgery Shuleni..

Zaidi kama hakuwa Mtegaji Alipokuwa Intenship na Rotation hio ni Just a Simple surgical Procedure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…