Bila kushika na kuona kama ni uvimbe laini au mgumu, unaotembea kirahisi, si rahisi kusema kwa uhakikika ni kitu gani.
Ila kwa maelezo yako yaweza kuwa ni :
1: Lipoma (mafuta).
2: Ganglion cyst (uvimbe kutokana na mishipa ya fahamu).
3: Bone cyst (uvimbe kutolana na mfupa).
Hakuna tiba mbadala kwa hali namba 1 na 3 ila upajuaji, kuna utofauti wa jinsi ya kufanya upasuaji husika.
Namba 3, huweza kupotea yenyewe au kupasua pia.
NB: Kutokana na eneo ulipo, ni vyema kumhusisha daktari bingwa wa upasuaji au mifupa, ili kutoleta madhira kwenye mishipa ya damu au fahamu ya eneo husika.
Tofauti na hapo uwe na uhakika wa uzoefu wa mhusika kwenye eneo la upasuaji.