Teknocrat
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 4,967
- 11,056
Kufanya hivi, na pia maelezo mengine yakayotokea, ni kwa hizi nchi za dunia ya tatu ambapo ukipuyanga tutasema siku yake ilifika, bwana ametwaaKuna daktari anaweza kuwa siyo wa mifupa au upasuaji, LAKINI yuko very smart na uzoefu wa kutosha kufanya complex procedures. Huyu utaweza kujua kupitia kazi zake na references.
Binafsi, ninaheshimu hili pia zaidi ya qualifications.
Kwenye nchi zinazojielewa, kwanza kila daktari anatakiwa kuwa na insurance, na kamwe hawezi kufanya procedure ambayo sio fani yake