Mkono wangu umevimba ghafla. Tatizo ni nini?

Kuna daktari anaweza kuwa siyo wa mifupa au upasuaji, LAKINI yuko very smart na uzoefu wa kutosha kufanya complex procedures. Huyu utaweza kujua kupitia kazi zake na references.

Binafsi, ninaheshimu hili pia zaidi ya qualifications.
Hapo sasa umefafanua vizuri
 
Naelewa, hapo ndo issue ya uelewa na experience. Unaweza kumaliza procedure mkono kwisha kazi yake. Very tricky.

Kujua kwa uhakika una-deal na nini? Kwa kujua kutofautisha.
Unaweza kujikuta umejaa kwenye aneurism.

Just a note:
Kuna intern aliona kutoa lipoma ni simple procedure. Akala mshiko wa bibi wa watu, lipoma iko kwenye cubital fossa. Akagusa big artery, jasho lilimtoka kweli.
Kwenda kwa surgeon anamwambia hikunijulisha kuwa una procedure.

Kitimtim nyumba ya shetani....
 
Asante Google asante google jamii forum mwamini yule aliyecommeng wa kwanza wanafuata ni google
 
Glafla unamaanusha umeaka asubuhi na kukuta umevimba hivyo?
Nilikuwa nimekaa kwenye benchi. Sasa wakati nainuka, nikanyanyukia mikono ili nipate balance. Ile nakuja kujitazama mkononi, nakuta tayari kamekwisha tokea
 
Hapo lazima uite mizimu Yote ya Nyumbani ije ikusaidie..
Kama ni Mkristo lazma unene kwa Lugha πŸ˜…πŸ˜…
 
Hapo lazima uite mizimu Yote ya Nyumbani ije ikusaidie..
Kama ni Mkristo lazma unene kwa Lugha πŸ˜…πŸ˜…

Unatoka jasho, unatetemeka huku mgonjwa anaona mtaalamu hayuko sawa damu ndo inashika kasi kama kuku kakatwa kichwa.

Ukikumbuka ilikuwa siri πŸ’£ Mgonjwa akikuuliza, vipi?
Jibu ni mmmhhh!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…