Kufanya hivi, na pia maelezo mengine yakayotokea, ni kwa hizi nchi za dunia ya tatu ambapo ukipuyanga tutasema siku yake ilifika, bwana ametwaaKuna daktari anaweza kuwa siyo wa mifupa au upasuaji, LAKINI yuko very smart na uzoefu wa kutosha kufanya complex procedures. Huyu utaweza kujua kupitia kazi zake na references.
Binafsi, ninaheshimu hili pia zaidi ya qualifications.
Tumia viagraNi mwaka sasa tokea uvimbe huu unitokee kwenye mkono wangu, japokuwa ulitokea ghafla, hauna maumivu yoyote hadi sasa
Shida inaweza kuwa nini?
View attachment 2930101
Mimi pia nilipata hiyo Lipoma, madkt wenzio wakasema ni lijifuta tu, hivyo wakalitoa.Ni movable?
Hiyo ni Lipoma au Ganglion cyst "Lupus" Mkuu,
Nenda hospitali Inatolewa tu sio kazi kubwa Ndani ya wiki unapona..
Usiiache itasababisha Carpel Tunnel Syndrome
Mkuu, walikitoa kwa njia ya oparesheni ama?Mimi pia nilipata hiyo Lipoma, madkt wenzio wakasema ni lijifuta tu, hivyo wakalitoa.
Melki the Storyteller Nenda hosp mkuu. Uvimbe wowote sio mzuri, wahi kabla chuma haijawa kubwa ukashindwa hata kupiga nyeto.
Operation ndogo, ni ganzi tu wala hupigwi nusu kaputi.Mkuu, walikitoa kwa njia ya oparesheni ama?