Ngaramtoni
JF-Expert Member
- Sep 10, 2012
- 430
- 61
Kuna habari nazisikia kwa watu kuwa eti wote waliochaguliwa kwenda degree level kwa kutumia diploma qualifications hawapewagi mkopo unless anaenda kusomea education.Nafahamu humu jukwaa lazima nitapata ukweli wa hilo.Pia Nina mtu hapa amepata public relation na ameomba kwa diploma qualifications,je ana nafasi ya kuweza kupata mkopo?nisaidieni kama vipi tujiandae kucover cost

hiyo system ilikuwa zamani siku hz hamna! bt akifanya mipango atapata
qualification za kupata mkopo few years back ilikuwa ni kwamba uwe na matokeo mazuri eg kwa form 6 uwe na div. i or ii
Kwa system yetu tz ni kuwa ordinary diploma ni sawa na f6. So ukiwa na dipolma graded as first class or upper second unapata mkopo. Fuatilia bodi ya mkopo.
bodi walishatoa ufafanuzi kuwa kuanzia mwaka huu kila mtu atapata mkopo bila kujali ni form six au diploma ii mradi tu awe amekidhi vigezo vya kuomba mkopo. kama umekidhi vigezo na jina lako sio miongoni mwa yale yaliyotolewa na bodi au kama liliitolewa na ukakamilisha mapungufu, basi tegemea kupata mkopo.
qualification za kupata mkopo few years back ilikuwa ni kwamba uwe na matokeo mazuri eg kwa form 6 uwe na div. i or ii
Kwa system yetu tz ni kuwa ordinary diploma ni sawa na f6. So ukiwa na dipolma graded as first class or upper second unapata mkopo. Fuatilia bodi ya mkopo.
Presha ipo juu coz nimeplekwa Mipango cjui watanipa au vp!
mpaka form 6 wenye sifa wapate wote ndo dip wanafikiriwa tena waliomba priority course tofauti na hapo ni maombi tu.
huo utaratibu labda umeupanga ww,maana siku za kutuma maombi ni zile zile sasa mabo ya wa f6 kwanza wengine baadae unayatoa wapi??
wabongo hamtaki kuambiwa ukweli sasa kama waliomaliza form 6 miaka 2 nyuma hawapati itakuwa dip.