Mkopo kwa wenye diploma qualifications

Mkopo kwa wenye diploma qualifications

Ngaramtoni

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2012
Posts
430
Reaction score
61
Kuna habari nazisikia kwa watu kuwa eti wote waliochaguliwa kwenda degree level kwa kutumia diploma qualifications hawapewagi mkopo unless anaenda kusomea education.Nafahamu humu jukwaa lazima nitapata ukweli wa hilo.Pia Nina mtu hapa amepata public relation na ameomba kwa diploma qualifications,je ana nafasi ya kuweza kupata mkopo?nisaidieni kama vipi tujiandae kucover cost
 
sina uwakika na hili. Lakini kuna mtu nilshawahi kumuona amepata kwa kutumia hivi vigezo
 
Kuna habari nazisikia kwa watu kuwa eti wote waliochaguliwa kwenda degree level kwa kutumia diploma qualifications hawapewagi mkopo unless anaenda kusomea education.Nafahamu humu jukwaa lazima nitapata ukweli wa hilo.Pia Nina mtu hapa amepata public relation na ameomba kwa diploma qualifications,je ana nafasi ya kuweza kupata mkopo?nisaidieni kama vipi tujiandae kucover cost

hiyo system ilikuwa zamani siku hz hamna! bt akifanya mipango atapata
 
Kuna habari nazisikia kwa watu kuwa eti wote waliochaguliwa kwenda degree level kwa kutumia diploma qualifications hawapewagi mkopo unless anaenda kusomea education.Nafahamu humu jukwaa lazima nitapata ukweli wa hilo.Pia Nina mtu hapa amepata public relation na ameomba kwa diploma qualifications,je ana nafasi ya kuweza kupata mkopo?nisaidieni kama vipi tujiandae kucover cost

Bodi huwa wanabadilika kila mwaka,mfano miaka ya 2010 wote walipewa mkopo bt mwaka 2012 hamna diploma alopata hata mmoja,pengene itokee tu kafanya zaidi ya maombi! So hautakiwi kukata tamaa kwani kama wasingekuwa na mpango wa kutoa mkopo basi wangetangaza ili watu wasijisumbue kuomba,so usikate tamaa kwani hatujui prof Nyattega na wenzake pale bodi watatumia vigezo vipi mwaka huu.
 
qualification za kupata mkopo few years back ilikuwa ni kwamba uwe na matokeo mazuri eg kwa form 6 uwe na div. i or ii
Kwa system yetu tz ni kuwa ordinary diploma ni sawa na f6. So ukiwa na dipolma graded as first class or upper second unapata mkopo. Fuatilia bodi ya mkopo.
 
bodi walishatoa ufafanuzi kuwa kuanzia mwaka huu kila mtu atapata mkopo bila kujali ni form six au diploma ii mradi tu awe amekidhi vigezo vya kuomba mkopo. kama umekidhi vigezo na jina lako sio miongoni mwa yale yaliyotolewa na bodi au kama liliitolewa na ukakamilisha mapungufu, basi tegemea kupata mkopo.
 
kumbe GPA inahusika kwenye mkopo
 
wanapata mkopo...hata huyo anayesema 2012 mbona walipata mkopo..LLB.
 
bodi walishatoa ufafanuzi kuwa kuanzia mwaka huu kila mtu atapata mkopo bila kujali ni form six au diploma ii mradi tu awe amekidhi vigezo vya kuomba mkopo. kama umekidhi vigezo na jina lako sio miongoni mwa yale yaliyotolewa na bodi au kama liliitolewa na ukakamilisha mapungufu, basi tegemea kupata mkopo.

asante mkuu kwa kutupa moyo
 
qualification za kupata mkopo few years back ilikuwa ni kwamba uwe na matokeo mazuri eg kwa form 6 uwe na div. i or ii
Kwa system yetu tz ni kuwa ordinary diploma ni sawa na f6. So ukiwa na dipolma graded as first class or upper second unapata mkopo. Fuatilia bodi ya mkopo.

Mpaka form 6 wenye sifa wapate wote ndo dip wanafikiriwa tena waliomba priority course tofauti na hapo ni maombi tu.
 
Mim nasoma education, kuna diploma kama watatu hv nawafahamu tulianza wote, hawana mkopo.
Sasa sijui mwaka huu itakuwaje
 
mpaka form 6 wenye sifa wapate wote ndo dip wanafikiriwa tena waliomba priority course tofauti na hapo ni maombi tu.

huo utaratibu labda umeupanga ww,maana siku za kutuma maombi ni zile zile sasa mabo ya wa f6 kwanza wengine baadae unayatoa wapi??
 
wabongo hamtaki kuambiwa ukweli sasa kama waliomaliza form 6 miaka 2 nyuma hawapati itakuwa dip.
 
hawa watu wa bodi na tcu waliojiwa ms itv mwishoni mwa mwezi wa sita ktk kipindi cha kipima joto. walilitolea ufafanuzi vizuri swala hili na wakaahidi mwaka huu watu waliomba vyuo kwa sifa za diploma watapewa mkopo, maana walisema wanahitaji watu 20eflu kila mwaka kwa sifa za dip ila walioomba mwaka huu walikuwa 6000 na ushee. kiasi kidogo sana tofauti ni miaka ya nyuma.
 
Back
Top Bottom