Ngaramtoni
JF-Expert Member
- Sep 10, 2012
- 430
- 61
Kuna habari nazisikia kwa watu kuwa eti wote waliochaguliwa kwenda degree level kwa kutumia diploma qualifications hawapewagi mkopo unless anaenda kusomea education.Nafahamu humu jukwaa lazima nitapata ukweli wa hilo.Pia Nina mtu hapa amepata public relation na ameomba kwa diploma qualifications,je ana nafasi ya kuweza kupata mkopo?nisaidieni kama vipi tujiandae kucover cost