Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Hello Hivi punde,
Pole kwa tatizo lililokukuta,tafadhali tunaomba taarifa kamili za mkopo wako, tawi walipokusaidia kupata mkopo na mawasiliano yako unayopatikana ( namba za simu ) tuweze kufuatilia na kutatua changamoto zilizopo,
Tafadhali tutumie PM tukusaidie.
Asante sana
Mkopo NMB : Nimekopa 9 mil , nakatwa 250,000 kila mwezi kwa miaka 6 nitarejesha 18 mil !
Umaskini hauishi kamwe.
Mkopo NMB : Nimekopa 9 mil , nakatwa 250,000 kila mwezi kwa miaka 6 nitarejesha 18 mil !
Umaskini hauishi kamwe.
Kama una biashara nzuri kweli uchukue hiyo fedha . Lakini kama ni biashara ya kusadikika achana nayo kwa itakutia umasikini zaidi.Mkopo NMB : Nimekopa 9 mil , nakatwa 250,000 kila mwezi kwa miaka 6 nitarejesha 18 mil !
Umaskini hauishi kamwe.
Mmhhh mbona km Unaibiw Crdb Mkopo M12.7 makato 259 miaka 7 inarudishwa My 21 ss ww iwe hvyo kapige hesabu vzrMkopo NMB : Nimekopa 9 mil , nakatwa 250,000 kila mwezi kwa miaka 6 nitarejesha 18 mil !
Umaskini hauishi kamwe.
Hii ni Tanzania ya Viwanda ambapo Uchumi wetu unakua kwa 7℅. Tutaona mengiMkopo NMB : Nimekopa 9 mil , nakatwa 250,000 kila mwezi kwa miaka 6 nitarejesha 18 mil !
Umaskini hauishi kamwe.
Mkuu hii kweli?Mmhhh mbona km Unaibiw Crdb Mkopo M12.7 makato 259 miaka 7 inarudishwa My 21 ss ww iwe hvyo kapige hesabu vzr