Mkopo NMB: Nimekopa 9 mil , nakatwa 250,000 kila mwezi kwa miaka 6 nitarejesha 18 mil !

Mkopo NMB: Nimekopa 9 mil , nakatwa 250,000 kila mwezi kwa miaka 6 nitarejesha 18 mil !

Status
Not open for further replies.
Mkopo NMB : Nimekopa 9 mil , nakatwa 250,000 kila mwezi kwa miaka 6 nitarejesha 18 mil !

Umaskini hauishi kamwe.
Utaelewa tu,hebu linganisha bei ya bati Leo na mwaka 2025,bei ya sukari Leo na mwaka 2025,ndugu kopa kwa malengo na haja.
 
Mkopo NMB : Nimekopa 9 mil , nakatwa 250,000 kila mwezi kwa miaka 6 nitarejesha 18 mil !

Umaskini hauishi kamwe.
Unajua maana ya Time value for money??
Wewe kwa akili yako unadhani millioni 9 ya leo uliokopa ni sawa na millioni 9 ya miaka 6 ijayo utakayorudisha?
 
Sidhani kama ni kweli!! Ninavyojua viwango vya riba kwa taasisi rasmi za kifedha kama benki huwa vinasimamiwa na benki kuu! Kulingana na aina ya mkopo! Ila riba ya 100% sidhani kama inakubalika!
 
Huo mkopo wako riba yaje ni 26.36% kwa mwaka, yawezekana unalipa hivyo kama sio mfanyakazi wa serikali, maana najua riba ya sasa inacheza 19% mpaka 17%, sasa kwa nini ulipe riba kubwa hivyo?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom