Huu ni uongo eti umekopa mil9 kwamiezi 6x250,000=ni 1,500,000 hio mil 18 kwa hesabu ipi mkuu au umejichanganya
Mkopo NMB : Nimekopa 9 mil , nakatwa 250,000 kila mwezi kwa miaka 6 nitarejesha 18 mil !
Umaskini hauishi kamwe.
Acha utoto.Huu ni uongo eti umekopa mil9 kwamiezi 6x250,000=ni 1,500,000 hio mil 18 kwa hesabu ipi mkuu au umejichanganya
Mie naona nisawa kwa kuwa unatoa kidogokidogo,hata haiumiIko namna hii, Algebra hii na wala sio Albadiri
Kakopa 9m, malipo kila mwezi 250k , muda ni miaka 6 (mwaka 1=miezi 12, zidisha 6mara 12 unapata 72)
Hivyo, fanya namna hii, 250k mara 72=18milioni.
Na hizi bado hajaweka chaji nyingine za kibenki zinazoweza kukaribia mawe kumi
Hiyo milioni tisa uliyokopa uliifanyia nini?Mkopo NMB : Nimekopa 9 mil , nakatwa 250,000 kila mwezi kwa miaka 6 nitarejesha 18 mil !
Umaskini hauishi kamwe.
Zidisha Mara mwaka mwaka una miezi 12Huu ni uongo eti umekopa mil9 kwamiezi 6x250,000=ni 1,500,000 hio mil 18 kwa hesabu ipi mkuu au umejichanganya
Mhurumie tu mkuu! Huyo ni katibu kata wetu anayetarajia kukabidhiwa ukurugenzi wa kura soonMkuu mbona hesabu za kitoto umepiga hizo mkopo hawapigi hivyo bhn uju kuna miezi 72 sio miezi sita
Hiyo ngoma itakua 100 mpaka anamaliza kudadekiSo hapo ni asimilia ngapi ?
Nishatoa Muda mrefu mbonaZidisha Mara mwaka mwaka una miezi 12
1,500,000×12=?
To jibu
Siku nyingine usiwe unakosoa watu kwa kukurupuka
Huenda kapitiwa kweliMhurumie tu mkuu! Huyo ni katibu kata wetu anayetarajia kukabidhiwa ukurugenzi wa kura soon
Shida mbaya Sana aisee, usikute wakati jamaa anapokea hicho kitita, alikua ameshasahau Kila kitu, zilipoanza kupungua nakajua kuna Hilo jangaHizi hesabu haukuzijua kabla hujakopa??..Au uliona sawa tu??
Huu ni uongo eti umekopa mil9 kwamiezi 6x250,000=ni 1,500,000 hio mil 18 kwa hesabu ipi mkuu au umejichanganya
Mie naona nisawa kwa kuwa unatoa kidogokidogo,hata haiumi
Na wengi unadhani wana biashara hasa hawa wafanyakazi yani hapo utakuta kaenda kununua gari au kaenda kujenga nyumba tena ni ya kukaa tu wala sio kupangisha na kanunua makochi na TVKama una biashara nzuri kweli uchukue hiyo fedha . Lakini kama ni biashara ya kusadikika achana nayo kwa itakutia umasikini zaidi.
Mmhhh mbona km Unaibiw Crdb Mkopo M12.7 makato 259 miaka 7 inarudishwa My 21 ss ww iwe hvyo kapige hesabu vzr