Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Kwa mwanaume unapata hadi erectile dysfunction . Kikubwa ni kujifunza kutokana na makosaMikopo inatesa sana! Niliwahi kukopa pesa kidogo tu lakini moaka mshipa wa hisia zote ukakata😂
Nilikuwa ni kazini ibadani nyumbani.. mkopo unaweza kukufanya ukawa unakula ugali asubuhi! Nyiiie🙌🏾😅 nilinyooka ule mwaka aisee! Nashukuru niliulipa wote!
Yanamwisho, ulichukua mikopo ukiwa na Njia njema na pesa hukuzitapanya kwa Starehe.Mikopo si jambo rahisi kama watu wengi wanavyofikiria.
Nilichukua mkopo na kuanzisha biashara nikiwa na matumaini makubwa. Hata hivyo, nilitumia fedha nyingi kwenye maandalizi, biashara haikufanikiwa kama nilivyotarajia, na baadaye nikapatwa na majanga yaliyoteketeza hata mtaji uliokuwa umebaki.
Kwa sasa sina kazi, lakini bado ninawajibika kulipa marejesho ya mkopo kila mwezi. Ni presha kubwa sana. Kila siku ni mawazo, msongo wa mawazo na hofu. Wakati mwingine nahisi kukata tamaa kabisa. Natafuta kazi kila sehemu lakini sipati.
Nimegundua kuwa msongo wa mawazo (depression) ni jambo la kweli. Unapokuwa na madeni, huna kipato, na huoni njia ya kutoka, maisha yanakuwa magumu sana.
Ninaendelea kutafuta kazi na fursa nyingine kwa matumaini kwamba siku moja hali itabadilika, lakini kwa sasa siwezi kuficha kwamba ninapitia kipindi kigumu sana. Sijui nifanye nini.
I will never take mikopo, naendelea kudunduliza za kwangu mwenyewe mpaka zifike kiwango kizuriUlitakiwa upate elimu ya mkopo kabla hujachukua..!!
Mkopo sio wa kuanzishia biashara.
Pesa za mkopo ni kwaajili ya kuongezea uhitaji wa bidhaa unazouza au unazozalisha kwa wateja..!!
Hakopi aweke katika biashara unayoioana kwa macho mkuu anaweka kwingine deni linajilipaHem tuambie waliofanikiwa wenye biashara kubwa wao walifikaje juu bila mikopo?
Lete proof, unajua shida yetu tunawajua watu kuliko wao wanavyojijua. Tuambie Mo au Bakhressa akikopa anapeleka wapi pesa yake.Hakopi aweke katika biashara unayoioana kwa macho mkuu anaweka kwingine deni linajilipa
Sasa hiyo ilinitokea mimi basi tu sikuwa na hiko kiungo chenu😀Kwa mwanaume unapata hadi erectile dysfunction . Kikubwa ni kujifunza kutokana na makosa
Hata mimi kabla ya kuingia katika biashara, nilikuwa hivyo. Lakini baada ya kuingia katika biashara, nikaona ni upumbavu kutumia pesa yangu wakati naweza kutumia za wenzangu kuendeleza biashara wakati zangu zikifanya kazi nyingine za maana.Lete proof, unajua shida yetu tunawajua watu kuliko wao wanavyojijua. Tuambie Mo au Bakhressa akikopa anapeleka wapi pesa yake.
Lakini pia, tuambie sisi tunaoanza chini, mitaji modogo, say 10m au 5m tutapanda vipi ngazi bila kuingia kwenye kukopa?
Kwa ke inakuwaje au uke unakuwa mkavu ?Sasa hiyo ilinitokea mimi basi tu sikuwa na hiko kiungo chenu😀
Kwanza unakuwa husikii kama una hicho kiungo! Labda ukione ukiwa unaoga.. unapoteza hamu ya kila kitu, tena bora ukae singo hizo hasira zitamuishia mpenziyo! Mimi niliepuka kuingia kwenye mahusiano wakati ule, kwanza niliokoka!😅Kwa ke inakuwaje au uke unakuwa mkavu ?
Hhhhh hio kali , hizo ndo heka heka za maisha Duniani lazma ukutane nazoKwanza unakuwa husikii kama una hicho kiungo! Labda ukione ukiwa unaoga.. unapoteza hamu ya kila kitu, tena bora ukae singo hizo hasira zitamuishia mpenziyo! Mimi niliepuka kuingia kwenye mahusiano wakati ule, kwanza niliokoka!😅
Kuchukua mikopo kwa ajili ya Biashara inataka ujasiri sana,kwakuwa trend ya biashara mara nyingi sio constant kwa kila mtu,sasa ni vizuri biashara iende vizuri lakini kama ikiyumba ujiandae kuugua pressure...Hem tuambie waliofanikiwa wenye biashara kubwa wao walifikaje juu bila mikopo?
Kabisa!Hhhhh hio kali , hizo ndo heka heka za maisha Duniani lazma ukutane nazo
Mkuu iko hivi kuna biashara mtu anafanya nikubwa zinatakiwa uchukue mkopo ili serikali inufaike na marejesho yako nafikiri hili unalijua , ingawa hela hio anayo ila kwa matakwa ya serikali inambidi achukue ni mfano wa biashara zisizooneka mkuu huo ni mfano mdogo tu.Hakopi aweke katika biashara unayoioana kwa macho mkuu anaweka kwingine deni linajilipa
Elimu ya Fedha wengi hawana, kuna principle moja ambayo ni common, ukichukua mkopo. Let say umechukua milioni 10. Toa Milioni 1 weka mfukoni uzunguke nayo bila kuitumia hata siku 3 ili utoe wenge.Huyu ni mjinga sana
Kachukua mkopo hana hata mia, mkopo huo huo ndo kafanyia maandalizi ya biashara na ndo kafanyia biashara yenyewe
Huwa tunatuchukua mkopo kwa ajili ya kwenda kuendeleza biashara zetu, siyo kwenda kununua masofa
Hakika mtumishElimu ya Fedha wengi hawana, kuna principle moja ambayo ni common, ukichukua mkopo. Let say umechukua milioni 10. Toa Milioni 1 weka mfukoni uzunguke nayo bila kuitumia hata siku 3 ili utoe wenge.
Fedha ya mkopo haiwekwi kwenye kapu moja (biashara moja), toa robo tatu ya mkopo fanyia biashara.
Usichukue mkopo kwenda kuanza biashara mpya.
Wewe unachukua mkopo unaanza kuwatumia mademu na ya kutolea utatoboa kweli hapo mama mtumish??!!Na atakuwa alichukua kwenye vicoba, bank si lazima wampe terms na ushauri hakupewa? Yani ukiwa unakopa una calculte kwanza kichwanai utalipaje, how comes yeye kajilipua namna hii? Au ndio risk taker😅
Haitotokea ba mtumishi!Wewe unachukua mkopo unaanza kuwatumia mademu na ya kutolea utatoboa kweli hapo mama mtumish??!!