HOJA Mkopo unanitesa sana, si jambo rahisi kama wengi wanavyofikiria

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakati huohuo umeanzisha Uzi kuwa wewe ni mwalimu wa shule ya msingi huko korogwe Tanga na unamlalamikia DEO wako juu ya malipo ya uhamisho aisee wabongo sometimes mnazingua sana.
Ndio depression yenyewe... naona amepata hallucination
 
Kosa lilianzia hapa
 
USICHUKUE MKOPO KWAAJILI YA KUANZISHA BIASHARA.

BALI

CHUKUA MKOPO KWA AJILI YA KUBORESHA BIASHARA ULIYONAYO NA UWE NA UHAKIKA KUWA FAIDA UNAYOPATA NI KUBWA KULIKO REJESHO UTAKALOPANGIWA
 
Juzi hapa masasi Kuna jamaa kauziwa nyumba yake milion 80,Ghala lake milion 100 na nyumba yake nyingine milion 100 na bank...akidaiwa million 350
 









yani kitu cha kwanza haupo serious ,ni kama unaenda hospital halafu unataka upewe dawa bila ya pimwa , kwanza kama una akili timamu sema nilifanya kitu fulani, ukienda site za wazungu watu wanakutana na changamoto ila wanafunguka uhalisia so ndoo wanapata input nzuri, stanbic bank walienda fungua tawi kariakooo watu waliwapiga chenga sana na achana na hiyo 2011 nilikuwa nafanya kazi G4S walienda kopesha watu pale ,aisee wafanyakazi waliacha kazi baada ya pata lump sum wengi , mwenye kampuni alibeba msalaba. point kubwa sio wewe unapitia changamoto hata big business wanapitia changamoto nyingi sana so kuficha changamoto ni ujinga .
 
Niliwahi kukopa Mbolea kwa mtu ili nilime nilipe Mazao.. bwanaee sio yaligoma mazao..ule mwaka sijawahi kuhusahau nioipomaliza mkopo..ila ndio ilinisaidia kuanza Maisha mapya kabisa kiuchumi
 
Pole kaka najua unayo pitia Kuna muda ukisikia mlango unagongwa tu amani inatoweka, mara kutuma watoto wakachungulie, mara kukimbia chumbani kujificha, shida tupu kaka pole sana
Nimeipenda sana hiyo ya kukimbia chumbani kujificha. Imewahi kunitokea hii. Acha tu
Pole kaka najua unayo pitia Kuna muda ukisikia mlango unagongwa tu amani inatoweka, mara kutuma watoto wakachungulie, mara kukimbia chumbani kujificha, shida tupu kaka pole sana
 





njoo nikupe darasa uwe winga 0685350950 unarudisha pesa yako chap
 
Pia ungesema kuwa umejifunza kuwa never ever usikope pesa kuanzisha biashara mpya never..
 
mikopo hatari sana,,, jamaa yangu hapo una miaka kama 10 ya kurudi kuwa kama ulivyokuwa kabla ya kuomba mkopo..
 
Pole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…