Mkopo wa Benki ya Dunia umeonyesha upinzani sio idadi ya ubunge, ni fikra

Upinzani wa namna hii ni wa kipumbavu. Zitu ni mpumbav, huwezi kukwamisha msaada ambao ungefaidisha wananchi then ukajiita mwanaharati. Huyu jamaa kinyesi kabisa hana lolote

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu, huu umekuwa msaada tena?? Mbona unasemwa ni mkopo??

Kinachonishangaza ni kuwa hufahamu misaada/mikopo huambatana na masharti (ndio ubaya wake). Na sharti la mkopo huu kwa kuwa unahisi elimu, ilikuwa ni watoto wa kike lazima wapewe nafasi. Nenda kajifunze kwanini WB inachagua kutumia Women in Development(WID), Women and Development (WAD) and Womenand Gender (WAG). Ndio utaelewa usahihi wa WB na sababu ni kuwa Tanzania ni signatory katika UN initiatives za kushirikisha wanawake katika nyanja za maisha. Hapo bado hujazungumzia Gender Equity and Gender Equality.

Tusilaumu Zitto wala WB. Tujilaumu kwa kuongia katika legally-binding treaties halafu tusitake kuzifuata na kutoa matamko hadharani ya non-compliance.
 
Mabeberu waheshimiwe

Wanatafuta kuitwa waheshimiwa ni hao wenye madaraka wengine tunajali nchi yetu bila siasa. Deni la nchi ni la wote wa Tanzania sio vizuri tukabagua watoto ambao sisi wenyewe na utamaduni wetu ndiyo umefanya wapate mimba halafu kwenye pesa za deni hawapo. Wanaosema wakajisomeshe wenyewe kwani kwenye madeni nawenyewe hawalipi? Hii ni pesa ya Watanzania wote bila ubaguzi na viongozi hawawezi kubagua na sisi eti tukae kimya. Tuiteni majina yote lakini sisi tupo kwenye walipa kodi kila mwaka na hatuwezi kunyamaza. Hivi mtoto wa hawa viongozi wakipata mimba wangeenda kuuza mandazi? Sisi ndyo watetezi wa masikini watoto wa hao mabeberu wanasoma.
 
Sasa zito kwa hili amesign bye bye jimbo la kigoma mjini.
Ifanyike lolote akose jimbo. Tuone hiyo ACT kama itamvumilia. Akose hata diwani. Akose ruzuku.
Mjinga mkubwa huyu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upinzani wa namna hii ni wa kipumbavu. Zitu ni mpumbav, huwezi kukwamisha msaada ambao ungefaidisha wananchi then ukajiita mwanaharati. Huyu jamaa kinyesi kabisa hana lolote

Sent using Jamii Forums mobile app
msaada wa nini tena unapingana na raisi wetu mpendwa kashasema hatuhitaji pesa za mabeberu, sisi ni matajiri tunahela za kuendesha miradi yetu bila kukopa
 
Yataongezeka sana tena sana kila mtu nikichaa na ukitaka kujua ukichaa wa mtu nipale anapokuwa na hasira sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mtaje tu ( ngoja tulinde heshima ya jf tusije ambiwa sisi ndio akina Melo)
Hii nchi imegeuzwa kuwa uwanja wa fisi Wabunge wa CCM walikuwa wanajadili jinsi ya kumuua Zitto Kabwe aisee!! nilishtuka sana

Ilibakia kusema tu kuwa wamuwekee Sumu kwenye Ugali wa Udaga na Mgebuka wa Mawese.

Chakula akipendacho
 
Upinzani wa namna hii ni wa kipumbavu. Zitu ni mpumbav, huwezi kukwamisha msaada ambao ungefaidisha wananchi then ukajiita mwanaharati. Huyu jamaa kinyesi kabisa hana lolote

Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo mtupu huo mkopo Wala haukuwa wa elimu.Serikali ya awamu ya tano haina interest hata kidogo na Mambo ya elimu
 
Tatizo kubwa la watanzania nI elimu, elimu, elimu!
Hii ingekuwa Kenya 80% ya watu wangekubali kuwa 30% ya watoto wa kike kuadhibiwa kwa kunyimwa haki yao ya kupata elimu bure ya serikali ni janga la taifa. Wala halina mjadala!
 
Hakuna namna unaweza kumbadilisha huyu jamaa zaidi ya kukubali mawazo yake. Atakachosema basi ndiyo hiyo hiyo na ukija na mawazo tofauti utaishia kupotezwa au kumiminiwa risasi. Dawa ni yy akae pembeni ajifunze kupitia wengine.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…