Ni kweli,hata mambo ya elimu kwa wajawazito kutoendelea na masomo yalikuwepo, ila hakuna aliyejimwambafai hadharani kuwa haitawezekana kwa kipindi changu, bali taratibu watu walitekeleza hiyo sera bila vikwazo. Mie binafsi siungi mkono eti wakijifungua warudi shuleni, watoto wanapaswa waelimishe wasijiusishe na ngono za utotoni, na wanaharakati ni vichaa mara tunataka umri wa kuolewa zaidi ya miaka 18 ili mtoto apate elimu na akuwe,mara akizaa akiwa na miaka 12 shule akachanganyike na watoto wengine wasiozaa,wanajifanya awaelewi kuwa watasababisha kuchochea ngono kwa watoto, na binti yangu shule ila yakimkuta haya atimuliwe tu, taangalia utaratibu mwingine!