Kwa time guru au kwa kuwaambia wakurugenzi kukimbia ofisi? USA kituo kinachofuata ni tume huru! Utashangaa Mwaka huu!Sasa zito kwa hili amesign bye bye jimbo la kigoma mjini.
Ifanyike lolote akose jimbo. Tuone hiyo ACT kama itamvumilia. Akose hata diwani. Akose ruzuku.
Mjinga mkubwa huyu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli,hata mambo ya elimu kwa wajawazito kutoendelea na masomo yalikuwepo, ila hakuna aliyejimwambafai hadharani kuwa haitawezekana kwa kipindi changu, bali taratibu watu walitekeleza hiyo sera bila vikwazo. Mie binafsi siungi mkono eti wakijifungua warudi shuleni, watoto wanapaswa waelimishe wasijiusishe na ngono za utotoni, na wanaharakati ni vichaa mara tunataka umri wa kuolewa zaidi ya miaka 18 ili mtoto apate elimu na akuwe,mara akizaa akiwa na miaka 12 shule akachanganyike na watoto wengine wasiozaa,wanajifanya awaelewi kuwa watasababisha kuchochea ngono kwa watoto, na binti yangu shule ila yakimkuta haya atimuliwe tu, taangalia utaratibu mwingine!
Upinzani wa namna hii ni wa kipumbavu. Zitu ni mpumbav, huwezi kukwamisha msaada ambao ungefaidisha wananchi then ukajiita mwanaharati. Huyu jamaa kinyesi kabisa hana lolote
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamundu, Mtahangaika sana lakini tutawamaliza mmoja mmoja nyie ni kikundi kidogo sana cha watu msiofika hata mia
Kikwete aliwakabidhi washamba madaraka makubwa.
Tutapata tabu Sana kipindi hiki cha bashite
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lako hapa ni kwamba unaweka lawama za mtoto kupata mimba kwa mtoto ambaye akili yake bado haijakuwa. Mtoto akipata mimba ni tatizo la jamii sio mtoto. Watoto wanafata utamaduni wetu sisi sio kwamba mimba ni ya hawa wazungu. Wapiga mimba wangapi wapo jela? Je mtoto akibakwa inakuwaje hapo makosa ni yake? Je tunajua watoto wangapi wanabakwa kwenye jamii zetu zingine huko?. Kisheria mtu mzima ukipata mimba na mtoto ni kubaka! hakuna utongozaji wa watoto ambao upo kisheria!
Upinzani wa namna hii ni wa kipumbavu. Zitu ni mpumbav, huwezi kukwamisha msaada ambao ungefaidisha wananchi then ukajiita mwanaharati. Huyu jamaa kinyesi kabisa hana lolote
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, huu umekuwa msaada tena?? Mbona unasemwa ni mkopo??
Kinachonishangaza ni kuwa hufahamu misaada/mikopo huambatana na masharti (ndio ubaya wake). Na sharti la mkopo huu kwa kuwa unahisi elimu, ilikuwa ni watoto wa kike lazima wapewe nafasi. Nenda kajifunze kwanini WB inachagua kutumia Women in Development(WID), Women and Development (WAD) and Womenand Gender (WAG). Ndio utaelewa usahihi wa WB na sababu ni kuwa Tanzania ni signatory katika UN initiatives za kushirikisha wanawake katika nyanja za maisha. Hapo bado hujazungumzia Gender Equity and Gender Equality.
Tusilaumu Zitto wala WB. Tujilaumu kwa kuongia katika legally-binding treaties halafu tusitake kuzifuata na kutoa matamko hadharani ya non-compliance.
Sasa zito kwa hili amesign bye bye jimbo la kigoma mjini.
Ifanyike lolote akose jimbo. Tuone hiyo ACT kama itamvumilia. Akose hata diwani. Akose ruzuku.
Mjinga mkubwa huyu.
Sent using Jamii Forums mobile app
😃😃Unamtisha nani wee Mama??
Tanzania si ni Nchi tajiri..!!?
Mkopo wa nini Sasa??!
nchi yetu ni tajiri...so misaada ya nini tena?Upinzani wa namna hii ni wa kipumbavu. Zitu ni mpumbav, huwezi kukwamisha msaada ambao ungefaidisha wananchi then ukajiita mwanaharati. Huyu jamaa kinyesi kabisa hana lolote
Sent using Jamii Forums mobile app