HKama wewe ni muajiriwa au unatarajia kuajiriwa hivi karibuni soma hii..
Pspf wanasema kwamba wanatoa mkopo wa elimu kwa mwanachama wake aliye changia ktk kipindi kisichopungua maiaka 2.
Wanatoa mkopo kuanzia ngazi ya diploma na kuendelea,ili mradi mwanachama awe na nyaraka muhimu zinazo onesha kwamba ameruhisiwa na mwajiri wake kwenda kusoma na barua ya kujiunga na chuo.
Mimi nilipoona hilo tangazo nikaona kama vile nimepata suluhu ya suala la ada maana ukizingatia sasa hivi bodi ya mikopo haitoi mkopo kwa watumishi wa umma wanaojiendeleza kielimu
Nikafuatilia ili nijue sasa namna watakavyo nikata hizo pesa baada ya kunikopesha.,!!
Nikachoka baada ya kuambiwa nitakatwa kwenye mshahara wa kila mwezi na wala sio kwenye mafao niliyochangia kila mwezi kwa muda wa miaka 2
Pia lazima uwe na akaunti benki ya posta ambao ndio watakao kuingizia hizo pesa,pia lazima 1/3 ya mshahara wako ubaki,
Sasa nikajiuliza kuna tofauti gani na kukopa kwingine? Pia kwa stahili hii ni ngumu kwa wafanyakazi wengi kukidhi vigezo kwani ndani ya miaka 2 utakuta mtu tayari ameshakopa sehemu nyingine na anakatwa kwenye mshahara.
Kama Pspf mnataka kweli kusaidia wanachama wenu ktk elimu basi lazima mumkate kwenye mafao yake aliyochangia ambayo yatakuwepo tu huko kwenu mpaka mwanachama atakapo staafu au kuacha kazi.
Mbona mpo hivyo? Au pengine mmekurupuka tu!!