Mkopo wa Elimu utolewao na pspf ni hovyo

BRAND

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2013
Posts
296
Reaction score
257
HKama wewe ni muajiriwa au unatarajia kuajiriwa hivi karibuni soma hii..

Pspf wanasema kwamba wanatoa mkopo wa elimu kwa mwanachama wake aliye changia ktk kipindi kisichopungua maiaka 2.

Wanatoa mkopo kuanzia ngazi ya diploma na kuendelea,ili mradi mwanachama awe na nyaraka muhimu zinazo onesha kwamba ameruhisiwa na mwajiri wake kwenda kusoma na barua ya kujiunga na chuo.

Mimi nilipoona hilo tangazo nikaona kama vile nimepata suluhu ya suala la ada maana ukizingatia sasa hivi bodi ya mikopo haitoi mkopo kwa watumishi wa umma wanaojiendeleza kielimu

Nikafuatilia ili nijue sasa namna watakavyo nikata hizo pesa baada ya kunikopesha.,!!

Nikachoka baada ya kuambiwa nitakatwa kwenye mshahara wa kila mwezi na wala sio kwenye mafao niliyochangia kila mwezi kwa muda wa miaka 2

Pia lazima uwe na akaunti benki ya posta ambao ndio watakao kuingizia hizo pesa,pia lazima 1/3 ya mshahara wako ubaki,

Sasa nikajiuliza kuna tofauti gani na kukopa kwingine? Pia kwa stahili hii ni ngumu kwa wafanyakazi wengi kukidhi vigezo kwani ndani ya miaka 2 utakuta mtu tayari ameshakopa sehemu nyingine na anakatwa kwenye mshahara.

Kama Pspf mnataka kweli kusaidia wanachama wenu ktk elimu basi lazima mumkate kwenye mafao yake aliyochangia ambayo yatakuwepo tu huko kwenu mpaka mwanachama atakapo staafu au kuacha kazi.

Mbona mpo hivyo? Au pengine mmekurupuka tu!!
 
hapo kiukweli sikuwahi kufikiri kama PSPF deni wanalikata ktk mshahara wa mwanachama bali ni kwenye mafao waliyoyakata ktk miaka hiyo miwili ya chini kujiunga. swali la kujiuliza
1. nini haswa lengo lao kwa mwanachama?
2. kuna sababu gani ya kuwa umechangia kwa angalao miaka 2?
3. wana tofauti gani na taasisi za kukopesha kama benki, Sacco's etc
4. ni kwa nin kuwe na ulazima wa kuwa na akaunti benki ya post a
5. kwa nini kama mwanachama ameshakopa kwingine
Mimi naona ni kiini macho tu na watuache tuendelee kukopa kulekule pa siku zote maana wapo kujinufaisha zaidi Na huku bado wamekalia mafao ya wanachama bila kuridhika
 
Kama wewe ni muajiriwa au unatarajia kuajiriwa hivi karibuni soma hii..

Mbona wenzenu Lapf hawako hivyo? Au pengine mmekurupuka kuwaiga tu!!

dah yaani mkuu hapo kwenye bold ndo nimechoka kabisa,wakate kwenye mshahara tena?au wanataka kuanzisha saccos?vipi riba yaoni kiasi gani?
 
Ahsante sna mkuu kwa kuileta hii mada,wiki hii nilitembelea ofis za LAPF ili kufahamu taratibu za kupata mkopo wa piga kitabu na LAPF, aiseeee nilichoka and disappointed!

Kwanza licha ya mawanacha kutimiza masharti ya mkopo lkn utapatiwa 75% tu ya kile ulichochangia ambacho inawezekana kisitoshe kwenye gharama za karo tu.

Pili mwanachama utakatwa kwenye mshahara pindi baada ya kukopeshwa ambapo riba ya mkopo ni17%, ssa nini tofauti na mabenk km ya CRDB,NMB?

Hii mifuko haina nia njema ya kumsaidia mwanachama zaidi ya ulafi tu wa kumnyonya mtumishi!
 
dah yaani mkuu hapo kwenye bold ndo nimechoka kabisa,wakate kwenye mshahara tena?au wanataka kuanzisha saccos?vipi riba yaoni kiasi gani?

Riba hawasemi ni kiasi gani,bali wanasema utakuwa unakatwa kidogokidogo
 
mi niliends kwenye ofisi zao pspf wakasema riba yao ni 14℅ na unakatwa on the sport baada ya kukopa .kwl wamekurupuka
 
Ila embu tufikirie hivi,
Una diploma yako ya uhasibu na watu wana Mpaka CPA hapo ofisini ulipo. Hivyo umebaki kama clerk tu.

Nafikiri mkopo kama huu ni fursa kama unataka kujiendeleza maana hata ungeamua kulipa direct from your salary still ungejipunguzia from salary. One fact ni kua hii mifuko ina style zake tofauti na mabenki.

14% kwa mwaka na makato hayazidi 1/3 ya mshahara ni reasonable at least compared na kama ungeenda Benki kukopa kwenye 18% - 25%.

Labda cha msingi ni kua huu ufafanuzi wa kwamba makato ni from salary na sio mafao ungewekwa wazi!!
 
Kama wewe ni muajiriwa au unatarajia kuajiriwa hivi karibuni soma hii..

Pspf wanasema kwamba wanatoa mkopo wa elimu kwa mwanachama wake aliye changia ktk kipindi kisichopungua maiaka 2.

Wanatoa mkopo kuanzia ngazi ya diploma na kuendelea,ili mradi mwanachama awe na nyaraka muhimu zinazo onesha kwamba ameruhisiwa na mwajiri wake kwenda kusoma na barua ya kujiunga na chuo.

Mimi nilipoona hilo tangazo nikaona kama vile nimepata suluhu ya suala la ada maana ukizingatia sasa hivi bodi ya mikopo haitoi mkopo kwa watumishi wa umma wanaojiendeleza kielimu

Nikafuatilia ili nijue sasa namna watakavyo nikata hizo pesa baada ya kunikopesha.,!!

Nikachoka baada ya kuambiwa nitakatwa kwenye mshahara wa kila mwezi na wala sio kwenye mafao niliyochangia kila mwezi kwa muda wa miaka 2

Pia lazima uwe na akaunti benki ya posta ambao ndio watakao kuingizia hizo pesa,pia lazima 1/3 ya mshahara wako ubaki,

Sasa nikajiuliza kuna tofauti gani na kukopa kwingine? Pia kwa stahili hii ni ngumu kwa wafanyakazi wengi kukidhi vigezo kwani ndani ya miaka 2 utakuta mtu tayari ameshakopa sehemu nyingine na anakatwa kwenye mshahara.

Kama Pspf mnataka kweli kusaidia wanachama wenu ktk elimu basi lazima mumkate kwenye mafao yake aliyochangia ambayo yatakuwepo tu huko kwenu mpaka mwanachama atakapo staafu au kuacha kazi.

Mbona wenzenu Lapf hawako hivyo? Au pengine mmekurupuka kuwaiga tu!!

Mimi ni Mtumishi wa Umma nipo katika taasisi nyeti sana hapa.nchini na ni member wa pspf, mwaka jana niliomba kuhama huu.mfuko niende GEPF wakanikatalia...dah! Inauma sana!
 
hapo kiukweli sikuwahi kufikiri kama PSPF deni wanalikata ktk mshahara wa mwanachama bali ni kwenye mafao waliyoyakata ktk miaka hiyo miwili ya chini kujiunga. swali la kujiuliza
1. nini haswa lengo lao kwa mwanachama?
2. kuna sababu gani ya kuwa umechangia kwa angalao miaka 2?
3. wana tofauti gani na taasisi za kukopesha kama benki, Sacco's etc
4. ni kwa nin kuwe na ulazima wa kuwa na akaunti benki ya post a
5. kwa nini kama mwanachama ameshakopa kwingine
Mimi naona ni kiini macho tu na watuache tuendelee kukopa kulekule pa siku zote maana wapo kujinufaisha zaidi Na huku bado wamekalia mafao ya wanachama bila kuridhika

Sioni mantiki kwa kweli, yaani we are sailing on the same boat...!
 
Mimi ni Mtumishi wa Umma nipo katika taasisi nyeti sana hapa.nchini na ni member wa pspf, mwaka jana niliomba kuhama huu.mfuko niende GEPF wakanikatalia...dah! Inauma sana!

Kuna sheria ilipitishwa kwamba mwanachama haruhusiwi kuhama mfuko mmoja kwenda mwingine,labda ukiweza ujiunge mfuko mwingine halafu yote miwili uichangie,yaani ukiona mfuko wako haulipi basi huwezi kuuacha labda ujiunga tena mwingine unaoona unafaa lakini ndio hivyo utapata mzigo wa kuchangia mifuko miwili kila mwezi.
Mimi nilijaribu kutaka kuhama pia kutoka pspf hiyo sheria ikanibana
 
ni kweli hauna tofauti na benki tena benki wanakupa za vitabu, kompyuta, na kuiachia familia, hawa jamaa walikurupuka!
 
Mimi ni Mtumishi wa Umma nipo katika taasisi nyeti sana hapa.nchini na ni member wa pspf, mwaka jana niliomba kuhama huu.mfuko niende GEPF wakanikatalia...dah! Inauma sana!
Hivi kama mtumishi umefanya kazi kwa muda wa miaka kadhaa,ile habari ya kukopa katika hizo taasisi bado ipo au ilishakufa kifo cha kawaida?
 
Kumbuka serikali ipo ili kukutumia na si kukuendekeza inaendeleza wa mtandao wa wuxi tu sio pspf ni mashirika ya jamii yote usilongwe
 
Mimi ni Mtumishi wa Umma nipo katika taasisi nyeti sana hapa.nchini na ni member wa pspf, mwaka jana niliomba kuhama huu.mfuko niende GEPF wakanikatalia...dah! Inauma sana!

Kiongozi naomba unipe faida ya GEPF compare kwa mifuko mingine maana nampango wa kuterminate kaz nikiahmia kaz ingine nijiunge. Kwa sasa nipo pspf
 
Back
Top Bottom