Mkopo wa haraka unahitajika.(3, 000,000)"Dhamana hati ya kiwanja (Madale-Dsm)

Status
Not open for further replies.

J Mbungi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
269
Reaction score
74
Wapendwa wana jamii forums,
wanangu yamekwama kurudi shule, na njia ya haraka kujinasua ni kuomba msamaria mwenye uwezo wa kunikopesha 3M..ndani ya miezi3 namrejeshea na riba atayohitaja..

Kiwanja kina hati halali ya mauzia no(Kiwanja kipo Madale mwisho na thamani ya kununulia kiwanja ilikuwa milion7)

Kipo sehemu ya Barabarani kabisaaa(barabara ya kutoka madale junction/mwisho kwenda mbopo)

Kwa mwenye uwezo wa kunisaidia tuwasiliane..nimkabidhi hati na tufanye makubaliano)

+255784355****
IKIPATIKANA HATA MILIONI 2 PIA NI SAWA TU!

Natanguliza shukrani..!
 
Mkuu walio wengi huwa wanataka dhamana ya gari ili ukishindwa kulipa wanauza

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi siwezi shindwa kulipa. Tena Mungu akijaalia hata baada ya mwezi Nampa pesa yake.

I'm running a tour company..sema nimepata changamoto( this December nilipata group ya wageni 29 wakapata challenges kwenye tour yao..(itabidi wafanyiwe full refund iliyo nigharimu sana.!!

Otherwise.nipo na bookings nazotarajia pesa iingizwe any time early next month au mwishoni mwa mwezi huu..


Sema ukikutana na challenges..ni umekutana nazo..huna jinsi.!

www.zanzibarexpedition.co.tz
 
Uza hicho kiwanja then tatua tatizo lako kiasi kitakacho baki nunua kiwanja kipya

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unakihitaji njoo..
.Japo gharama yake ni kubwa kupata munuzi wa haraka..ukilinganisha na mtu kunikopesha 3M au 2M tena kwa riba.. within 2 or3minths nimrejeshee.

If you can help on this side then si taabu..
 
Kama unaendesha kampuni ya utalii, ni dhahiri una exposure na network kubwa. Hivi umeshindwa kuazima mil 3 kwa ndugu au rafiki zako wa karibu? Si lazima kuazima yote kwa mtu mmoja, waweza kuazima 1m kwa watu watatu tofauti.
 
Kama unakihitaji njoo..
.Japo gharama yake ni kubwa kupata munuzi wa haraka..ukilinganisha na mtu kunikopesha 3M au 2M tena kwa riba.. within 2 or3minths nimrejeshee.

If you can help on this side then si taabu..
Hiyo pesa unayokusudia kutoa riba, kwa nini usifanye discount ktk kiwanja hicho ili upate mnunuzi wa haraka?

Ukitaka kukiuza unakusudia kuuza kwa sh.ngapi?
 
Kama unaendesha kampuni ya utalii, ni dhahiri una exposure na network kubwa. Hivi umeshindwa kuazima mil 3 kwa ndugu au rafiki zako wa karibu? Si lazima kuazima yote kwa mtu mmoja, waweza kuazima 1m kwa watu watatu tofauti.
Kampuni ndo tuna anza kaka..hatujakomaa kihivyo( hata hivyo nimekielezea yaliyo nikuta just juzi tu December..baada ya wageni kuwa harassed wakati wa tour yao y Serengeti+ Zanzibar
.
Nikalazimika kurefund almost 50,000$( unafikiri ilikuwa rahisi ndugu yangu?! Hapo nimekopa na kukopaa mpaka..!

Sasa unapojaribu kulinda biashara changa na hasa kwa wenzetu wazungu( wanaweza kuiua dakika 0)
 
Hiyo pesa unayokusudia kutoa riba, kwa nini usifanye discount ktk kiwanja hicho ili upate mnunuzi wa haraka?

Ukitaka kukiuza unakusudia kuuza kwa sh.ngapi?
Walao 8M.

Riba ya miezi 3 au 2 si kubwa
.! Nina uhakika wa kurejesha hiyo pesa within short of time..Ila ikinilazimu kukiachia sina jinsi..
 
Yaani ulitoa mil 115 za kitanzania halafu mil 3 iwe tatizo kihivyo?!
Ndo ujue..unapopata challenges..hujawahi ona mabilionea wanafilisika mpaka pikipiki inawashinda?!

Anyway mtazamo wako..Maana hujui crisis nazopitia.!
 
Hiv mkuu we unafikir kwa hzo karatasi unaweza mshawishi mtu akupe Mil 3? kua serious kdogo
Yup, nadhani ni vigumu mtu makini kuingia ktk muamala wa aina hii hasa ukizingatia hatujuani. Njia nyepesi ni kuwek bondi gari na kadi yake au kuuza kiwanja kwa hasara fulani.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…