reyzzap
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,826
- 21,945
Kufanya miamala ya pesa bila kuchunguza/kuhakikisha usalama na uhalali na ukweli ni uzwazwa lakini pia kila mtu anaeleta shida yake na haraka tu bila uhakiki/kuchunguza na unaanza kumuita tapeli Huo ni uzwazwa na nusu au uzwazwa×2, kila saa unawaza kutapeliwa tapeliwa tuu,
Jitengenezee mazingira na akili ya kukwepa kutapeliwa na si kujilimbikizia mawazo ya kutapeliwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jitengenezee mazingira na akili ya kukwepa kutapeliwa na si kujilimbikizia mawazo ya kutapeliwa.
Sent using Jamii Forums mobile app