Mkopo wa haraka unahitajika.(3, 000,000)"Dhamana hati ya kiwanja (Madale-Dsm)

Mkopo wa haraka unahitajika.(3, 000,000)"Dhamana hati ya kiwanja (Madale-Dsm)

Status
Not open for further replies.
Hiv mkuu we unafikir kwa hzo karatasi unaweza mshawishi mtu akupe Mil 3? kua serious kdogo
Sasa mbona mimi militoa 7M kwa makaratasi hayo hayo??
Tuwe realistic..mbona 90℅ ya waliojenga/wenye viwanja wana makaratasi hayo hayo ya Kijiji/kata..
Nisamehe pia... Maana ni kwasababu ya shida..!
..
 
Upo tayar kurudisha kwa riba ya 50% ya hyo pesa baada ya miezi mitatu? Japo nipo mkoani Dodoma
 
Sasa mbona mimi militoa 7M kwa makaratasi hayo hayo??
Tuwe realistic..mbona 90℅ ya waliojenga/wenye viwanja wana makaratasi hayo hayo ya Kijiji/kata..
Nisamehe pia... Maana ni kwasababu ya shida..!
..
Mkuu kuna tofauti kubwa ya kununua kiwanja na ukapewa hati ya serikali za mitaa HALAFU kumkopesha mtu usiyemfahamu hata milioni 1 kwa kushikizwa hati hiyo hiyo hati ya serikali za mitaa.
 
Huyu dalali tu,hana hicho kiwanja...
Anapiga kamba eti amefanya refund kwa watalii 50,000u.s.d...kwa kampuni yake ya utalii...FAKE!
 
Kuna mtu anapigwa hapa muda si mrefu. Matapeli wana akili za ajabu sana
 
Yup, nadhani ni vigumu mtu makini kuingia ktk muamala wa aina hii hasa ukizingatia hatujuani. Njia nyepesi ni kuwek bondi gari na kadi yake au kuuza kiwanja kwa hasara fulani.
Numekuelewa.. Kama una hofu naweza kukupatia na hati yangu ya kusafiria ukakaa nayo..Pia nipo tiyari unipeleke kwa reliable mwana Sheria wako...

Nimepitia mengi kunusuru kampuni yangu isife( as long as my company is running..I will survive this.) Ila vitu reliable vingi ndo vilivyonisaidia ku-hold on wakati nafanya refund ya wageni walio pata shida..
Unajua shida ikikushika unadhani umepangiwa wewe tu

Ila ninashukuru pia kwa michango yenu hii..inaonyesha mnajali shida zangu..ndo mana mkapata nafsi ya kutoa mawazo na ushauri..
 
Kuna mtu anapigwa hapa muda si mrefu. Matapeli wana akili za ajabu sana
Kuweka caution ni muhimu sana..na mimi nipo tiyari kuji prove innocent katka hili.
Hata kama ni kwenda mahakamani au popote.. unapo amini itaindosha wasiwasi wako..
 
Mkuu kuna tofauti kubwa ya kununua kiwanja na ukapewa hati ya serikali za mitaa HALAFU kumkopesha mtu usiyemfahamu hata milioni 1 kwa kushikizwa hati hiyo hiyo hati ya serikali za mitaa.
Nimekuelewa...Kama unadhani ipo njia nyingine ya kuniondolea kadhia hii nitapokea ushauri wako.

Hata hivyo kuna watu wana nijua personally humu(tena wengi) maana kuna kipindi nilikuwa namsaidia kaka Martin kuuza viwanja..ambapo baadhi yao nimekutana nao..)ikitokea bahati watajitokeza humu)

Mimi nipo real na natumia real name/account.
 
Jamani pelekeni watoto Shule kulingana na kipato Chako. Utauza kila kitu na kila yenu wakati ungewahamishia shule ya ggharama nafuu maisha yaende

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukipitia michango ya watu kidogo utaelewa..(ni kwamba some un expected events brought me this stage
.si kwamba sikuwa na uwezo
.wanangu wanasoma ATLAS MADALE"

Ila nashukuru sana kwa mchango wako wa mawazo.
 
Nimekuelewa...Kama unadhani ipo njia nyingine ya kuniondolea kadhia hii nitapokea ushauri wako.

Hata hivyo kuna watu wana nijua personally humu(tena wengi) maana kuna kipindi nilikuwa namsaidia kaka Martin kuuza viwanja..ambapo baadhi yao nimekutana nao..)ikitokea bahati watajitokeza humu)

Mimi nipo real na natumia real name/account.
Hili ni suala la muda mfupi..nitakaa sawa soon naamini kwa uwezo wa mwenyezi Mungu
Changamoto niliyo nayo ni ya muda mfupi..si ya kuwahamisha watoto

(Ukizingatia wana mitihani ya taifa standard7 & 4
 
Ukipitia michango ya watu kidogo utaelewa..(ni kwamba some un expected events brought me this stage
.si kwamba sikuwa na uwezo
.wanangu wanasoma ATLAS MADALE"

Ila nashukuru sana kwa mchango wako wa mawazo.
Nimepitia na nimeelewa nimewahi kununua kiwanja kwa mtu aliyekwama Kama wewe na nilimweleza kuwa awahamishe watoto shule ile ya gharama hakunisikiliza akawaacha palepale. Mwaka huu anauza kiwanja kingine na nina uhakika ataendelea kuuza mali zake asipofuata ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepitia na nimeelewa nimewahi kununua kiwanja kwa mtu aliyekwama Kama wewe na nilimweleza kuwa awahamishe watoto shule ile ya gharama hakunisikiliza akawaacha palepale. Mwaka huu anauza kiwanja kingine na nina uhakika ataendelea kuuza mali zake asipofuata ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu, huyo mtu anauza kiwanja kwa shilingi ngapi sasa?
 
Wapendwa wana jamii forums,
wanangu yamekwama kurudi shule, na njia ya haraka kujinasua ni kuomba msamaria mwenye uwezo wa kunikopesha 3M..ndani ya miezi3 namrejeshea na riba atayohitaja..

Kiwanja kina hati halali ya mauzia no(Kiwanja kipo Madale mwisho na thamani ya kununulia kiwanja ilikuwa milion7)

Kipo sehemu ya Barabarani kabisaaa(barabara ya kutoka madale junction/mwisho kwenda mbopo)

Kwa mwenye uwezo wa kunisaidia tuwasiliane..nimkabidhi hati na tufanye makubaliano)

+255784355775
IKIPATIKANA HATA MILIONI 2 PIA NI SAWA TU!

Natanguliza shukrani..!
Sema tu unauza kiwanja kwa hiyo hela mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom