Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,761
- 5,276
Doesn't make any sense. Kama mtu una money flow level ya $50,000, its funny ushindwe kuwa na tshs 3 million benki.
Ok, shukrani
Ubarikiwe sana...changamoto ni hii ya kuwa na mitihani ya taifa(mmoja akimaliza standard 7 otherwise ushauri wako ni nzuri, kwa uhakika siwezi kuendelea ktk shule hii ya gharama by next year ikiwa sijatengamaa.Nimepitia na nimeelewa nimewahi kununua kiwanja kwa mtu aliyekwama Kama wewe na nilimweleza kuwa awahamishe watoto shule ile ya gharama hakunisikiliza akawaacha palepale. Mwaka huu anauza kiwanja kingine na nina uhakika ataendelea kuuza mali zake asipofuata ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
6m halafu kina msingi
HAPANA hakina msingi..Japo ndo nilikuwa na matarajio ya kuweka msingi wa frem soon (kwasababu kipo barabarani
Nipe 7M hata hiyo Moja ikichelewa kidogo siyo mbaya..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yatakwisha tu mkuu.Ahsnte..ndugu..ni sehemu ya struggle za maisha.
Haaa,! Haaa! Ahsnte mkuu!!Mtu unazo figo zote mbili sa unahangaika nini kuanza kukopakopa nakati unaweza uza moja kwa mamilioni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mnakuwa wagumu kuelewa amesema alipata tatizoDoesn't make any sense. Kama mtu una money flow level ya $50,000, its funny ushindwe kuwa na tshs 3 million benki.
Pesa ndefu hiyo mkuu, kwa ghafla ghafla...hasa ukizingatia sina uhitaji wa kihivyoo wa kiwanja. Mtu akiwa na shida akataka kuuza kwa bei ya dharura ninaweza kufikiria kununua.Milioni 7 nakubali.since mi maji ya shi go sahivi
Amina..Mungu akubarikiPole sana Mkuu binadamu wenye uelewa watakuja inbox kwako au kukupigia shida humu Jf kuna watoto wamevamia wao kila kitu ni jokes tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu usawa huu unatatiza kila mtu, wewe inaonyesha una Nia ya kusaidia..Mungu akubariki.. njoo PM au WhatsApp nimeweka namba zangu.. tuongeee tuone linakowezekana na lisilowezekana.Pesa ndefu hiyo mkuu, kwa ghafla ghafla...hasa ukizingatia sina uhitaji wa kihivyoo wa kiwanja. Mtu akiwa na shida akataka kuuza kwa bei ya dharura ninaweza kufikiria kununua.