Sasa mbona mimi militoa 7M kwa makaratasi hayo hayo??Hiv mkuu we unafikir kwa hzo karatasi unaweza mshawishi mtu akupe Mil 3? kua serious kdogo
Mkuu kuna tofauti kubwa ya kununua kiwanja na ukapewa hati ya serikali za mitaa HALAFU kumkopesha mtu usiyemfahamu hata milioni 1 kwa kushikizwa hati hiyo hiyo hati ya serikali za mitaa.Sasa mbona mimi militoa 7M kwa makaratasi hayo hayo??
Tuwe realistic..mbona 90℅ ya waliojenga/wenye viwanja wana makaratasi hayo hayo ya Kijiji/kata..
Nisamehe pia... Maana ni kwasababu ya shida..!
..
Numekuelewa.. Kama una hofu naweza kukupatia na hati yangu ya kusafiria ukakaa nayo..Pia nipo tiyari unipeleke kwa reliable mwana Sheria wako...Yup, nadhani ni vigumu mtu makini kuingia ktk muamala wa aina hii hasa ukizingatia hatujuani. Njia nyepesi ni kuwek bondi gari na kadi yake au kuuza kiwanja kwa hasara fulani.
Kuweka caution ni muhimu sana..na mimi nipo tiyari kuji prove innocent katka hili.Kuna mtu anapigwa hapa muda si mrefu. Matapeli wana akili za ajabu sana
Nimekuelewa...Kama unadhani ipo njia nyingine ya kuniondolea kadhia hii nitapokea ushauri wako.Mkuu kuna tofauti kubwa ya kununua kiwanja na ukapewa hati ya serikali za mitaa HALAFU kumkopesha mtu usiyemfahamu hata milioni 1 kwa kushikizwa hati hiyo hiyo hati ya serikali za mitaa.
Ukipitia michango ya watu kidogo utaelewa..(ni kwamba some un expected events brought me this stageJamani pelekeni watoto Shule kulingana na kipato Chako. Utauza kila kitu na kila yenu wakati ungewahamishia shule ya ggharama nafuu maisha yaende
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ni suala la muda mfupi..nitakaa sawa soon naamini kwa uwezo wa mwenyezi MunguNimekuelewa...Kama unadhani ipo njia nyingine ya kuniondolea kadhia hii nitapokea ushauri wako.
Hata hivyo kuna watu wana nijua personally humu(tena wengi) maana kuna kipindi nilikuwa namsaidia kaka Martin kuuza viwanja..ambapo baadhi yao nimekutana nao..)ikitokea bahati watajitokeza humu)
Mimi nipo real na natumia real name/account.
Nimepitia na nimeelewa nimewahi kununua kiwanja kwa mtu aliyekwama Kama wewe na nilimweleza kuwa awahamishe watoto shule ile ya gharama hakunisikiliza akawaacha palepale. Mwaka huu anauza kiwanja kingine na nina uhakika ataendelea kuuza mali zake asipofuata ushauriUkipitia michango ya watu kidogo utaelewa..(ni kwamba some un expected events brought me this stage
.si kwamba sikuwa na uwezo
.wanangu wanasoma ATLAS MADALE"
Ila nashukuru sana kwa mchango wako wa mawazo.
mkuu, huyo mtu anauza kiwanja kwa shilingi ngapi sasa?Nimepitia na nimeelewa nimewahi kununua kiwanja kwa mtu aliyekwama Kama wewe na nilimweleza kuwa awahamishe watoto shule ile ya gharama hakunisikiliza akawaacha palepale. Mwaka huu anauza kiwanja kingine na nina uhakika ataendelea kuuza mali zake asipofuata ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema tu unauza kiwanja kwa hiyo hela mkuuWapendwa wana jamii forums,
wanangu yamekwama kurudi shule, na njia ya haraka kujinasua ni kuomba msamaria mwenye uwezo wa kunikopesha 3M..ndani ya miezi3 namrejeshea na riba atayohitaja..
Kiwanja kina hati halali ya mauzia no(Kiwanja kipo Madale mwisho na thamani ya kununulia kiwanja ilikuwa milion7)
Kipo sehemu ya Barabarani kabisaaa(barabara ya kutoka madale junction/mwisho kwenda mbopo)
Kwa mwenye uwezo wa kunisaidia tuwasiliane..nimkabidhi hati na tufanye makubaliano)
+255784355775
IKIPATIKANA HATA MILIONI 2 PIA NI SAWA TU!
Natanguliza shukrani..!
6m halafu kina msingimkuu, huyo mtu anauza kiwanja kwa shilingi ngapi sasa?
Kipo maeneo gani?