Mkopo wa haraka unahitajika.(3, 000,000)"Dhamana hati ya kiwanja (Madale-Dsm)

Status
Not open for further replies.
Ubarikiwe sana...changamoto ni hii ya kuwa na mitihani ya taifa(mmoja akimaliza standard 7 otherwise ushauri wako ni nzuri, kwa uhakika siwezi kuendelea ktk shule hii ya gharama by next year ikiwa sijatengamaa.

But something tells me that this will come to normal soon..if not, then lazima nakubali kushauriwa
 
Kipo maeneo gani?
Madale mwisho yanapogeuzia magari yanayotoka tegeta/wazo..barabara inayoenda mbopo. Njoo kwa WhatsApp tuchat.(+255784 355775 au +255762466293 zote zipo hewani
 
Milioni 7 nakubali.since mi maji ya shi go sahivi
Pesa ndefu hiyo mkuu, kwa ghafla ghafla...hasa ukizingatia sina uhitaji wa kihivyoo wa kiwanja. Mtu akiwa na shida akataka kuuza kwa bei ya dharura ninaweza kufikiria kununua.
 
Pole sana Mkuu binadamu wenye uelewa watakuja inbox kwako au kukupigia shida humu Jf kuna watoto wamevamia wao kila kitu ni jokes tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Amina..Mungu akubariki
Binadaam tumeumbwa tofauti, hivyo lazima tuchukuliane..wapo watakao kuelewa lakini wakajifanya hawaluelewi, Ila ambao hawatakuelewa kabisaaa!

La msingi ni kushukuru na kuchukua na..!
 
Pesa ndefu hiyo mkuu, kwa ghafla ghafla...hasa ukizingatia sina uhitaji wa kihivyoo wa kiwanja. Mtu akiwa na shida akataka kuuza kwa bei ya dharura ninaweza kufikiria kununua.
Ni kweli mkuu usawa huu unatatiza kila mtu, wewe inaonyesha una Nia ya kusaidia..Mungu akubariki.. njoo PM au WhatsApp nimeweka namba zangu.. tuongeee tuone linakowezekana na lisilowezekana.
Uenda baada ya muda nikakinunua tena toka kwako( kwa vile huna huitaji nacho
.Kimsingi no mahali napapenda..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…