Kutoka cash flow ya $50,000 hadi ubembeleze angalau $1000 kwa ada za watoto?Ahsnte kwa mtazamo wako..nashukuru ndugu.
Yani nimesoma comments zote sijaona mtu akiulizia ukubwa wa hicho kiwanja.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ukikosa humu waone wenye microfinance kama EFL n.k japo milolongo ya kibenki ni mikubwa ungekopa bank moja Kwa moja dhamana ni kampuni lako
Sent using Jamii Forums mobile app
20 X 16Yani nimesoma comments zote sijaona mtu akiulizia ukubwa wa hicho kiwanja.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Umeongea jambo jema na umetoa angalizo zuri...I'm very much available to be presented to any law/government organs to declare myself innocent..you are all welcome..!Kufanya miamala ya pesa bila kuchunguza/kuhakikisha usalama na uhalali na ukweli ni uzwazwa lakini pia kila mtu anaeleta shida yake na haraka tu bila uhakiki/kuchunguza na unaanza kumuita tapeli Huo ni uzwazwa na nusu au uzwazwa×2, kila saa unawaza kutapeliwa tapeliwa tuu,
Jitengenezee mazingira na akili ya kukwepa kutapeliwa na si kujilimbikizia mawazo ya kutapeliwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alijawahi kukufikia kaka/ndugu..waulize watu..(kuna kipindi Manji alikuwa hawezi kudroo hata shilling kumi..toka account zake..Japo ni bilionea..Kutoka cash flow ya $50,000 hadi ubembeleze angalau $1000 kwa ada za watoto?
Nimekuelewa. Huna access na bank accounts zako.Alijawahi kukufikia kaka/ndugu..waulize watu..(kuna kipindi Manji alikuwa hawezi kudroo hata shilling kumi..toka account zake..Japo ni bilionea..
Lakini ni haki yako..Maana kila mtu anao uhuru wa kudadavua kila anachoambiwa na si kukubali kirahisi rahisi..( you have tangible reason to question this . and I do appreciate it)
Nahitaji mtu wa kunisaidia sio Kuni knock down"Upo tayar kurudisha kwa riba ya 50% ya hyo pesa baada ya miezi mitatu? Japo nipo mkoani Dodoma
Minimekuelewa kwa mkuu navojua bin adamu hatulingani ,,ila nakushaur nenda bank utakuwa sorted easily instead ya kupoteza mdaa hapa JF watu wa JF ni kuchoorana tu ila kwenye serious issue wanatupa majungu baadhi yawo japo wapo ambawo wapo serious na wanatoa misaadaa!Wapendwa wana jamii forums,
wanangu yamekwama kurudi shule, na njia ya haraka kujinasua ni kuomba msamaria mwenye uwezo wa kunikopesha 3M..ndani ya miezi3 namrejeshea na riba atayohitaja..
Kiwanja kina hati halali ya mauzia no(Kiwanja kipo Madale mwisho na thamani ya kununulia kiwanja ilikuwa milion7)
Kipo sehemu ya Barabarani kabisaaa(barabara ya kutoka madale junction/mwisho kwenda mbopo)
Kwa mwenye uwezo wa kunisaidia tuwasiliane..nimkabidhi hati na tufanye makubaliano)
+255784355775
IKIPATIKANA HATA MILIONI 2 PIA NI SAWA TU!
Natanguliza shukrani..!
20 X 16
Sema kwa vile kinapakana na barabara..ni dhahiri utaanza kwenye17 or 16 kijisafe guard.. ni barabara ya mtaa lakini nikubwa na Ila route za daladala..
20 X 16
Sema kwa vile kinapakana na barabara..ni dhahiri utaanza kwenye17 or 16 kijisafe guard.. ni barabara ya mtaa lakini nikubwa na Ila route za daladala..
Ila kipo eneo zuri mno..unaweza kujenga ki ghorofa vizuri na fr mbele kuiacha sehemu ya parking between nyumba na geti la barabaraniDuh kidogo sana aisee..!! Kila la kheri..!!
Najaribu kila njia..this is the only option I have right know..Ila IKIPATIKANA hata mwenye 6M namuachiaKidogo sana mkuu..... madale 17 kwa 20 imefikaga for 8 to 7m? kisa dayamondi platinamu?
Lakini nikutakie kila la kheri, nakushauri ukope kwa mtu anayekufaham ndio rahs kukuamini zaidi. Kwa mtu baki mara nyingi labda ulete mali ambayo ni liquidy kama gari tena iwe na thamani mara 2 ya pesa unayochukua.
At this level mwenye Nia anitafute directly nipo very flexible kulingana na shida niliyonayoKidogo sana mkuu..... madale 17 kwa 20 imefikaga for 8 to 7m? kisa dayamondi platinamu?
Lakini nikutakie kila la kheri, nakushauri ukope kwa mtu anayekufaham ndio rahs kukuamini zaidi. Kwa mtu baki mara nyingi labda ulete mali ambayo ni liquidy kama gari tena iwe na thamani mara 2 ya pesa unayochukua.
Amina..nikipata hata mwenye moja milioni at this stage ntampa haya makaratasi..(pia tuende mahali ana amini ni pa kisheria zaidi..nipo tiyari)Pia endelea kuazima azima mwenye tano Tatu hadi ifike Milioni 3 kama ukikosa 3 Kwa pamoja
Sent using Jamii Forums mobile app