Mkopo wa Milioni 50 NMB na CRDB riba yake ni kiasi gani kwa mwaka?

Inategemea kama ni mkopo wa wafanyakzi au business man
Riba zinakuwa flactuatead
 
Habar wadau naulizia hivi mkopo wa 50m kwa hizi bank nmb na crdb kwa mwaka riba yake nikiasi gani
Juzijuzi hapa uliuliza mkopo mdogo kiasi, leo ghafla unauliza wa milioni 50. Na muundo wa swali lako ni uleule, husemi ni mkopo wa nini ila najua wewe ni muajiriwa. Bado husemi muda wa mkopo.

Bila kuuliza kwa usahihi hupati jibu sahihi. Huchelewi kutukana.
 
Ndio maana wengi husema chat gpt inadanganya (japo kweli mengine haijui) ila kiukweli wengi kuuliza maswali ni changamoto.

Kama hapo zinahitajika baadhi ya detail ili walau apate figure ambazo zina usahihi kiasi.
 
Ahsante kwa swali kwa muulizaje. Naomba nami niulize.
Kwa bank yetu pendwa nmb kwa watumishi wa umma.
Mwenye take home ya 600,000 mkopo wa miaka 3 anaweza kupata kiasi gani maximum baada ya makato yote katika kuchakata mkopo husika. Mwenye uelewa naomba anisaidie.
Natanguliza shukurani sana.
 
Ulipaswa kusema kwenye hiyo take home ya 600k, 1/3 yako inapaswa ibaki ngapi

Ili isaidie kujua ni kiasi gani kitatumika kwenye makato ya huo Mkopo

Ila roughly unaweza kupata 5.3M hivi iwapo utakatwa 193k/Mwezi Kwa miezi 36 ya Mkopo wako
 
Asee
 
Kuna mihela ya bure huko halmashauri unaenda kuhangaika kwenye mariba makubwa
 
Kama ana uwezo wa kuheshimu muda wake wa mwaka Mmoja bila ku default riba ni ndogo hata ikiwa na percentage kubwa lakini usilogwe ukope mkopo wa miaka mingi kwenye taasisi hizo. Utajuta utakachokirudisha
 
20% mbona kubwa sana
Limit ya BOT waliyowekewa BOT na mataifa ya magharibi kupitia IMF ili kuzuia ukuaji wa uchumi kwa kuforce hiyo 20% interest kwenye kila muamala wa benki.

Kwa hiyo riba ni ngumu sana benki zote kuongeza wigo wa wakopaji kwa wingi.
 
Ulipaswa kusema kwenye hiyo take home ya 600k, 1/3 yako inapaswa ibaki ngapi

Ili isaidie kujua ni kiasi gani kitatumika kwenye makato ya huo Mkopo

Ila roughly unaweza kupata 5.3M hivi iwapo utakatwa 193k/Mwezi Kwa miezi 36 ya Mkopo wako
Mmake, yaani milioni 5 kweli?😂😂😂
 
Back
Top Bottom