Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,311
- 49,343
Imenibid nicheke😄😄ndo hivyo, wastaafu tunapigwa 17% ndo wanazokula wanajinenepea hovyo
Imenibid nicheke😄😄ndo hivyo, wastaafu tunapigwa 17% ndo wanazokula wanajinenepea hovyo
Mikopo yenye rejesho kupitia mshahara huwa ni duniMmake, yaani milioni 5 kweli?😂😂😂
😂😂😂😂😂😂🙌Evelyn Salt njoo umshauri muwekezaji 😂
Kwani wewe hujanenepa bado...ndo hivyo, wastaafu tunapigwa 17% ndo wanazokula wanajinenepea hovyo
Naomba utaratibu.Kuna mihela ya bure huko halmashauri unaenda kuhangaika kwenye mariba makubwa
Ule wa vikundiN
Naomba utaratibu.
Kama ni hivi basi mtumishi anaweza jikopesha mwenyewe. Anaseti pesa ambayo anaitaka kwa miaka mi3 kutoka kwenye mshahara,kila mshahara ana save 18%. Simple😅. Usikope kwenda kujenga,kununua gari,kuanzisha biashara(kama.ndiyo unaanza).Unaweza kupata 5.3..million huku ukitegemea kulipa 7 million. na Ushee kama jumla ya mkopo kwa miaka 3.
Kwa interest ya 18% .