malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,913
- 4,695
Du huko bank walikwambiaje?Habar wadau naulizia hivi mkopo wa 50m kwa hizi bank nmb na crdb kwa mwaka riba yake nikiasi gani
20% mbona kubwa sana50,000,000 x 20/100
hapo lazima ujue bado chargers kibao
ndo hivyo, wastaafu tunapigwa 17% ndo wanazokula wanajinenepea hovyo20% mbona kubwa sana
Mhmmndo hivyo, wastaafu tunapigwa 17% ndo wanazokula wanajinenepea hovyo
Juzijuzi hapa uliuliza mkopo mdogo kiasi, leo ghafla unauliza wa milioni 50. Na muundo wa swali lako ni uleule, husemi ni mkopo wa nini ila najua wewe ni muajiriwa. Bado husemi muda wa mkopo.Habar wadau naulizia hivi mkopo wa 50m kwa hizi bank nmb na crdb kwa mwaka riba yake nikiasi gani
Ndio maana wengi husema chat gpt inadanganya (japo kweli mengine haijui) ila kiukweli wengi kuuliza maswali ni changamoto.Juzijuzi hapa uliuliza mkopo mdogo kiasi, leo ghafla unauliza wa milioni 50. Na muundo wa swali lako ni uleule, husemi ni mkopo wa nini ila najua wewe ni muajiriwa. Bado husemi muda wa mkopo.
Bila kuuliza kwa usahihi hupati jibu sahihi. Huchelewi kutukana.
Ulipaswa kusema kwenye hiyo take home ya 600k, 1/3 yako inapaswa ibaki ngapiAhsante kwa swali kwa muulizaje. Naomba nami niulize.
Kwa bank yetu pendwa nmb kwa watumishi wa umma.
Mwenye take home ya 600,000 mkopo wa miaka 3 anaweza kupata kiasi gani maximum baada ya makato yote katika kuchakata mkopo husika. Mwenye uelewa naomba anisaidie.
Natanguliza shukurani sana.
AseeUlipaswa kusema kwenye hiyo take home ya 600k, 1/3 yako inapaswa ibaki ngapi
Ili isaidie kujua ni kiasi gani kitatumika kwenye makato ya huo Mkopo
Ila roughly unaweza kupata 5.3M hivi iwapo utakatwa 193k/Mwezi Kwa miezi 36 ya Mkopo wako
Vipi Mkuu?Asee
Kama ana uwezo wa kuheshimu muda wake wa mwaka Mmoja bila ku default riba ni ndogo hata ikiwa na percentage kubwa lakini usilogwe ukope mkopo wa miaka mingi kwenye taasisi hizo. Utajuta utakachokirudishaKuna mihela ya bure huko halmashauri unaenda kuhangaika kwenye mariba makubwa
Limit ya BOT waliyowekewa BOT na mataifa ya magharibi kupitia IMF ili kuzuia ukuaji wa uchumi kwa kuforce hiyo 20% interest kwenye kila muamala wa benki.20% mbona kubwa sana
Mmake, yaani milioni 5 kweli?πππUlipaswa kusema kwenye hiyo take home ya 600k, 1/3 yako inapaswa ibaki ngapi
Ili isaidie kujua ni kiasi gani kitatumika kwenye makato ya huo Mkopo
Ila roughly unaweza kupata 5.3M hivi iwapo utakatwa 193k/Mwezi Kwa miezi 36 ya Mkopo wako
Noma kaka umaskini konyo miaka mitatu unaparangana kulipa M5...Mmake, yaani milioni 5 kweli?πππ
Kunyonyana tu aisee. Na ndio maana watu wana stress sana. Ana mkopo wa million 5 mshahara laki 6 hapo unaishi vipi mjini aisee?Noma kaka umaskini konyo miaka mitatu unaparangana kulipa M5...