mkopo wa namna hii ni kuumiza vijana .

mkopo wa namna hii ni kuumiza vijana .

igihumbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2017
Posts
529
Reaction score
483
habarini wapendwa leo katika pitabpita zangu nikakutana na mikopo ya bajaji na bodaboda .

aaah hapana nikauli mkopo wa bajaji nikaambiwa kianzio laki 7 (700000) rejesho kwa siku 27000 na ni mkopo wa miaka 2.
viongozi kweli bajaji ya milioni 7 mtu alipe 20 milion kweli.
 
Bajaj ni 10m sahv. Kama unataka mkopo nafuu wa hivyo vyombo vya moto bora NMB sio hivo vikampuni uchwara vya mikopo.
 
Tatizo la wengi ni kuwa akisikia tu mkopo anakurupuka bila kufanya mahesabu. Unajikuta unamtajirisha mtu mwenye akili zake!! wengi wameumizwa kwa style hii. Tukiwa makini hivyo vikampuni vya kausha damu vitajizika bila kufa
 
Hivi ni kitu gani kilichopo kwenye bajaj cha kuifanya iuzwe milioni kumi?
Hamna cha maana hata. Mamlaka si wameona ndo kuna mwanya wa kupiga kodi hapo maana zinanunuliwa sana. Hapo 3m yote ni kodi.
 
habarini wapendwa leo katika pitabpita zangu nikakutana na mikopo ya bajaji na bodaboda .

aaah hapana nikauli mkopo wa bajaji nikaambiwa kianzio laki 7 (700000) rejesho kwa siku 27000 na ni mkopo wa miaka 2.
viongozi kweli bajaji ya milioni 7 mtu alipe 20 milion kweli.
Hii mikopo ni jau sana
 
Hamna cha maana hata. Mamlaka si wameona ndo kuna mwanya wa kupiga kodi hapo maana zinanunuliwa sana. Hapo 3m yote ni kodi.
Uko sahihi. Pia kuna lengo la kudhibiti ongezeko la kasi la idadi ya bajaji. Zimekuwa nyingi mno. Tukiweka kodi kubwa tutadhibiti ongezeko bila kuathiri mapato.
 
Sio lazima, cha msingi uwe na dhamana (nyumba, kiwanja, biashara), kianzio chao ni 1.5 nadhan kwa sasahv. Rejesho ni elfu 17 kwa cku. Mkopo wa 2yrs
manake ukimaliza,unakua umelipa tsh 13,740,000.
 
Back
Top Bottom