Bajaj ni 10m sahv. Kama unataka mkopo nafuu wa hivyo vyombo vya moto bora NMB sio hivo vikampuni uchwara vya mikopo.habarini wapendwa leo katika pitabpita zangu nikakutana na mikopo ya bajaji na bodaboda .
aaah hapana nikauli mkopo wa bajaji nikaambiwa kianzio laki 7 (700000) rejesho kwa siku 27000 na ni mkopo wa miaka 2.
viongozi kweli bajaji ya milioni 7 mtu alipe 20 milion kweli.
NMB utaratibu upoje? Na nilazima uwe mtumishi wa umma au sekta binafsi?Bajaj ni 10m sahv. Kama unataka mkopo nafuu wa hivyo vyombo vya moto bora NMB sio hivo vikampuni uchwara vya mikopo.
ni hatari ndugu ngoja niwacheki hao NMBBajaj ni 10m sahv. Kama unataka mkopo nafuu wa hivyo vyombo vya moto bora NMB sio hivo vikampuni uchwara vya mikopo.
Sio lazima, cha msingi uwe na dhamana (nyumba, kiwanja, biashara), kianzio chao ni 1.5 nadhan kwa sasahv. Rejesho ni elfu 17 kwa cku. Mkopo wa 2yrsNMB utaratibu upoje? Na nilazima uwe mtumishi wa umma au sekta binafsi?
Hivi ni kitu gani kilichopo kwenye bajaj cha kuifanya iuzwe milioni kumi?Bajaj ni 10m sahv. Kama unataka mkopo nafuu wa hivyo vyombo vya moto bora NMB sio hivo vikampuni uchwara vya mikopo.
Hamna cha maana hata. Mamlaka si wameona ndo kuna mwanya wa kupiga kodi hapo maana zinanunuliwa sana. Hapo 3m yote ni kodi.Hivi ni kitu gani kilichopo kwenye bajaj cha kuifanya iuzwe milioni kumi?
Hii mikopo ni jau sanahabarini wapendwa leo katika pitabpita zangu nikakutana na mikopo ya bajaji na bodaboda .
aaah hapana nikauli mkopo wa bajaji nikaambiwa kianzio laki 7 (700000) rejesho kwa siku 27000 na ni mkopo wa miaka 2.
viongozi kweli bajaji ya milioni 7 mtu alipe 20 milion kweli.
Uko sahihi. Pia kuna lengo la kudhibiti ongezeko la kasi la idadi ya bajaji. Zimekuwa nyingi mno. Tukiweka kodi kubwa tutadhibiti ongezeko bila kuathiri mapato.Hamna cha maana hata. Mamlaka si wameona ndo kuna mwanya wa kupiga kodi hapo maana zinanunuliwa sana. Hapo 3m yote ni kodi.
manake ukimaliza,unakua umelipa tsh 13,740,000.Sio lazima, cha msingi uwe na dhamana (nyumba, kiwanja, biashara), kianzio chao ni 1.5 nadhan kwa sasahv. Rejesho ni elfu 17 kwa cku. Mkopo wa 2yrs
Exactly, ni nafuu kuliko vikampuni vya kausha damu. Maana bajaj new ni 10m.manake ukimaliza,unakua umelipa tsh 13,740,000.