Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafijiri wakatisha tiketi ni WACHAGGA Mpaka wasikosee?Eti Freeman Mbowie. Unadanganya hadi unashindwa kuandika jina halisi la mtu?
Mkuu unapofanya uongo kuna makosa madogo kama haya lazima uya overlook.Jina la Passengers anaitwa nani? Sheria za makosa ya mtandao zikichukua mkondo wake kama inavyostahili na pasiwepo upendeleo kuna watu watafilisika kama sio kuishia jela.
Mbona anahangaika sana na UKUTA? umeprint vikaratasi kama tiketi ambavyo hata baamedi anaweza kuvitengeneza.UKUTA wenu washike wengine? Jiandaeni wenyewe MBOWE washikisha yeye anasepa.
Huyu mchimba chumvi atajulia wapi ? Anajinasibu ni mtu wa songea na ile ID yake nyingine ,kwa kifupi usiumize kichwa bureMleta mada unafahamu maana ya FLEX?
Unadhani kwenda nje sawa na kwenda Narung'ombe, jina likiwa tofauti na la passport tiket ni void.Unafijiri wakatisha tiketi ni WACHAGGA Mpaka wasikosee?
Kumbe huyu jamaa ni Mwanamama? Dah! Siku zote najua ni dume! Okay! Huyu sikuwa namfahamu !Binti yangu TataMadiba unapata faida gani kutunga mambo kama haya? Kweli mwaka jana CCM tulipata Wabunge wa aina mbalimbali!
Mzee Tupatupa
Mkuu, una kauli gani kuhusu mbowe kukimbia moto aliouwasha?UKUTA umetibua kila mahala, makada, buku saba, mawaziri(Nimemsikia SIMBACHAWENE ITV, akimwaga pumba), Polisi, wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi wa halmashauri...etc Wote HOMA YA UKUTA imewakumba!
Pole sana Tata Madiba safari hii UKUTA umewashika pabaya! Hakuna namna ya kuuzuia, nyie tulieni tu muone!
Mmechanganyikiwa! Badala ya kujitetea kwa kile alichowasilisha mnaanza kujadili jinsia ya mtuKumbe huyu jamaa ni Mwanamama? Dah! Siku zote najua ni dume! Okay! Huyu sikuwa namfahamu !
Leo TataMadiba kawatandika za uso. Hamna pa kutokeaNina wasi wasi na jinsia yako wewe
Nikimkumbuka kabwe alivyokuwa hana kazi nacheka sanaUKUTA umetibua kila mahala, makada, buku saba, mawaziri(Nimemsikia SIMBACHAWENE ITV, akimwaga pumba), Polisi, wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi wa halmashauri...etc Wote HOMA YA UKUTA imewakumba!
Pole sana Tata Madiba safari hii UKUTA umewashika pabaya! Hakuna namna ya kuuzuia, nyie tulieni tu muone!