chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
Alichoandika insta ata hakieleweki mtu huelewi ni nyumba za ya moto band kila mtu na yake au ni kambi ya yamoto
Ukitoka ya moto nyumba unaiacha, ni kama kumpa mtu gari na funguo tu bila kadi
Amewapa Nguvu Na moyoYesu ndio kajenga!
Unajuaje kama yesu kahusika hapo kwenye kuwapa hizo nguvu na moyoAmewapa Nguvu Na moyo