chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
Mkubwa Fela amewaita waandishi wa habari kuwaonyesha nyumba alizowajengea Yamoto Band huku akisema kuwa project yake ya Mkubwa na Wanawe imekuwa na mafanikio makubwa, amemshukuru pia Rais mstaafu Jakaya Kikwete na Ruge wa Clouds kwani pia alimsaidia sana kwenye mradi wake huo wa Mkubwa na Wanawe
Nyumba hizo amesema zitakuja kuzinduliwa na Kikwete
Nyumba hizo amesema zitakuja kuzinduliwa na Kikwete