Nsanzagee
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 2,209
- 4,769
Mashabiki wa Putini na China, vipi kuhusu Ruble na Yuan zimefikia wapi sokoni?
Vipi, Dollar imeanguka?
Mzungu atabaki mzungu tu!
Nimekuwa nikijiuliza, siku Marekani aache kabisa kutoa misaada yoyote duniani awe kama nchi zingine, kila kitu afanye kwake tu!
Sjui china na Urusi watafanya nini, na sielewi maisha ya nchi za watu masikini yatakuweje!
Sielewi takwimu za vifo vitokanavyo na Ukimwi zitapanda kwa kiwango gani, malaria itakasirika kwa kiwango gani!