Mkubwa siku zote hubaki mkubwa, mashindano ya Yuan, Ruble kuipokonya soko Dollar ya marekeni kiko wapi?

Rais wa China jana alikuwa USA,

Hii ziara itakuwa imemkera sana Putin.

China siku zote huwa ina akili mbili, za kuambiwa na zile za kwake
Hawajawahi kuwa msaada kwenye ishu zinazohusu vita
 
Marekani ni mjanja nchi zote duniani zimewekwa kwenye madeni makubwa na bank ya dunia na Marekani na hayo madeni lazima yalipwe kwa dollar hivyo kila nchi sasa duniani inatafuta dollar .
Msahau kabisa dollar kuanguka
 
Kuingusha Us dollar Ni kazi ngumu Sana,
Lazima uanze kuingusha Mifumo yake kwanza na Mifumo ya nchi ya Marekani kitu ambacho Ni kigumu zaidi
Dollar ndo SI unit ya fedha zote
MTU wa taifa lolote ili aelewe thamani ya hela yako laima umtajie kwa Dola
Asilimia kubwa ya Madeni ya mataifa yanalipwa kwa Dola ikiwemo la Tanzania ambalo linapaa kila siku na halijulikani litalipwa Hadi kizazi Cha ngapi lazima vitukuu wetu walilipe kwa Dola ya mmarekani
Asilimia kubwa ya mauzo ya nje Ni Dola ya Marekani
Yakiwemo mataifa makubwa mauzo yao Ni Dola ya Marekani na biashara kubwa wanafanya na Marekani
Tena China hataki fedha yake iwe na thamani kubwa ili kushusha Bei ya exports zake
So China amewekwa kabisa mfukoni na Us
Bado hutajaongelea UN na taassisi zake zote ambazo zinafadhiliwa kwa asilimia kubwa na Marekani na kwa kutumia Dola yake
Utamkoromeaje anayekulisha
Misaada anayotoa Marekani Ni karibu bajeti nzima ya EA

Kushusha Dola bila Mifumo yake Ni uongo
 
Natamani wakusome wote proo china na urusi na wakuelewe
 
Rais wa China jana alikuwa USA,

Hii ziara itakuwa imemkera sana Putin.

China siku zote huwa ina akili mbili, za kuambiwa na zile za kwake
Alishaachana na ubabe wa kijeshi, amejikita kwenye maendeleo ya raia wake.

Russia atakuwa na ghadhabu kubwa kwa kuona hilo kiasi cha kung'ata meno, mwenzake ameshatoka kwenye zama za ubabe wa vita.
 
Back
Top Bottom