Miaka mingapi labda? Maana Mimi nilianza kusikia hili tangu enzi za Yen ya Japan.Hata Kama ni kweli,kwa akili yako Hilo ni suala la mwaka mmoja!?
,silaha bora bado zinatoka USA,
Vipi, Dollar imeanguka?
Japan hawana shida na magharibi..wanabang fresh tuMiaka mingapi labda? Maana Mimi nilianza kusikia hili tangu enzi za Yen ya Japan.
Mbona rouble ndo inazidi kuangukia pua?!
akikujibu nitag naombaWapi paliandikwa,au nani alisema yuan na ruble ziko kwenye mashindano ya kuipokonya USD
Pro putin walijaza humu nyuzi wakidai hivyo. Mfano huu hapa..Wapi paliandikwa,au nani alisema yuan na ruble ziko kwenye mashindano ya kuipokonya USD
Kuiangusha Dollar ni lazima akili nyingi itumike kuizidi wenye Dollar yao!Pro putin walijaza humu nyuzi wakidai hivyo. Mfano huu hapa..
Urusi na China; Kuanguka kwa Dola na kuinuka kwa Yuan
URUSI NA CHINA;KUANGUKA KWA DOLA NA KUINUKA KWA YUAN. Leo 14:30pm 06/03/2022 Rais wa Urusi,Vladimir Putin hakuivamia Ukraine bila mipango (kwa bahati mbaya),Urusi haifanyi kitu chochote bila mipango,Urusi na China wameisubiri siku hii kwa muda mrefu na sasa wameipata fursa adimu ya kuiangusha...www.jamiiforums.com
Wajinga hawajuiKuiangusha dollar siyo vyepesi, pia hata kama ni kuiangusha labda baada ya miaka 10-20 ijayo, pia kuiangusha dollar siyo suala la kupanga Ili kuiangusha, kinachoangusha dollar ni kuweka mikakati ya kiuchumi na kimaendeleo imara na siyo maneno, uchumi wa Russia unaozidiwa na Jimbo la California ndo kweli wa kuiangusha USA? Soko la madini USA ndo amelitawala,silaha bora bado zinatoka USA, na Kila nchi inataka kununua USA.