Miaka 7 iliyopita 1$ = 30rubbleMiaka mingapi labda? Maana Mimi nilianza kusikia hili tangu enzi za Yen ya Japan.
Hawajawahi kuwa msaada kwenye ishu zinazohusu vitaRais wa China jana alikuwa USA,
Hii ziara itakuwa imemkera sana Putin.
China siku zote huwa ina akili mbili, za kuambiwa na zile za kwake
Hajui lolote kuhusu nguvu za sarafu Duniani.Hata Kama ni kweli,kwa akili yako Hilo ni suala la mwaka mmoja!?
Japan hawana shida na magharibi..wanabang fresh tu
Ni suala la miaka mingapi?? Maana kwa zaidi ya miaka 30 sasa bado limekuwa likizungumziwa!Hata Kama ni kweli,kwa akili yako Hilo ni suala la mwaka mmoja!?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aiseeee! wamesogeza mbele kama mistari ambayo Iran alikuwa anamchorea yahudi. Mwisho ameamua kubeba na kichoreo cha mistari na kwenda kulala na kuwaacha hamas wapambane na hali zao.
mshasahau?Wapi paliandikwa,au nani alisema yuan na ruble ziko kwenye mashindano ya kuipokonya USD
Acha uchochezi mkuu πππAiseeee! wamesogeza mbele kama mistari ambayo Iran alikuwa anamchorea yahudi. Mwisho ameamua kubeba na kichoreo cha mistari na kwenda kulala na kuwaacha hamas wapambane na hali zao.
Natamani wakusome wote proo china na urusi na wakueleweKuingusha Us dollar Ni kazi ngumu Sana,
Lazima uanze kuingusha Mifumo yake kwanza na Mifumo ya nchi ya Marekani kitu ambacho Ni kigumu zaidi
Dollar ndo SI unit ya fedha zote
MTU wa taifa lolote ili aelewe thamani ya hela yako laima umtajie kwa Dola
Asilimia kubwa ya Madeni ya mataifa yanalipwa kwa Dola ikiwemo la Tanzania ambalo linapaa kila siku na halijulikani litalipwa Hadi kizazi Cha ngapi lazima vitukuu wetu walilipe kwa Dola ya mmarekani
Asilimia kubwa ya mauzo ya nje Ni Dola ya Marekani
Yakiwemo mataifa makubwa mauzo yao Ni Dola ya Marekani na biashara kubwa wanafanya na Marekani
Tena China hataki fedha yake iwe na thamani kubwa ili kushusha Bei ya exports zake
So China amewekwa kabisa mfukoni na Us
Bado hutajaongelea UN na taassisi zake zote ambazo zinafadhiliwa kwa asilimia kubwa na Marekani na kwa kutumia Dola yake
Utamkoromeaje anayekulisha
Misaada anayotoa Marekani Ni karibu bajeti nzima ya EA
Kushusha Dola bila Mifumo yake Ni uongo
Adabu hainunuliwi.Upuuzi mkubwa sana huu
Alishaachana na ubabe wa kijeshi, amejikita kwenye maendeleo ya raia wake.Rais wa China jana alikuwa USA,
Hii ziara itakuwa imemkera sana Putin.
China siku zote huwa ina akili mbili, za kuambiwa na zile za kwake
Mkuu Ili kupanua mjadala wa hili suala napendekeza usiwe unauliza maswali magumu. Tutakosa wachangiaji! Ahahahahaha!!!Kwa hiyo mmesogeza mbele kwa miaka mingapi tena mkuu?