Mkude akienda Yanga SC atakuwa ametimiza Mambo haya makubwa Mawili ambayo wengi wenu mlikuwa hamuyajui

Yanga wanamambo ya kishamba sana usije kuta wamemchukua Mkude wakidhani ana siri za kitamaduni zirakazowasaidia kuifunga Simba.
Maana hili ndilo huwa lengo kuu la yanga.Kimataifa imekuja tu baada ya kufungwa huku na Simba,wakakakomaa ili wasichekwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…