LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Kilaza wewe fake sio news ya mkude kuja Yanga fake ni hizo tambo za mtoa mada kuhusu vyanzo vya taarifa yakeOngeza sauti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilaza wewe fake sio news ya mkude kuja Yanga fake ni hizo tambo za mtoa mada kuhusu vyanzo vya taarifa yakeOngeza sauti
Utanena lugha zote leoKilaza wewe fake sio news ya mkude kuja Yanga fake ni hizo tambo za mtoa mada kuhusu vyanzo vya taarifa yake
"Yani umuache Morrison halafu ukaribishe wahuni wengine hivi mnaona Yanga hii haiko serious kama Simba?"Yani umuache Morrison halafu ukaribishe wahuni wengine hivi mnaona Yanga hii haiko serious kama Simba?
Tushamchukua unasemaje!Yani umuache Morrison halafu ukaribishe wahuni wengine hivi mnaona Yanga hii haiko serious kama Simba?
Hamko seriousTushamchukua unasemaje!
Yanga wanamambo ya kishamba sana usije kuta wamemchukua Mkude wakidhani ana siri za kitamaduni zirakazowasaidia kuifunga Simba.Siku nyingi sana na hapa JamiiForums ( walio wengi watashuhudia kwa akina Tomaso waliojazana ) GENTAMYCINE nilisema kuwa kama kuna Mchezaji ambaye si tu ninammudu bali pia namjua ndani nje kwakuwa kakua namuona ni Jonas Gerald Mkude.
Na ndiyo maana baada ya Leo kusikia kuwa ana Uwezekano wa kwenda Yanga SC niliwashangaa mno wana Simba SC ambao wameogopa na Kuhoji kwanini Kaachwa.
Leo GENTAMYCINE nitasema hapa Mambo Mawili tu kumhusu Mkude ambayo nina uhakika nayo kwa 100% na nayaandika hapa huku nikijiamini nayo kabisa.
1. Jonas Gerald Mkude ni mwana Yanga SC 100% ila alikuwa ni mwana Simba SC kwa Usoni tu na Kumridhisha Rafiki yake mkubwa Mwekezaji Mo Dewji ( kutokana na Kumfanyia Biashara moja hivi yenye Utajiri wa haraka ) miaka ya nyuma na pia Kumridhisha Kocha aliyemuibua Utotoni na mwana Simba SC Selemani Matola na Meneja Patrick Rweymamu.
2. Kwa tuliokuwa na mpaka leo tunashinda na Kukutana nae mara kwa mara Maskani za Kawe kwa Rafiki yake mkubwa Pazi, Kinondoni Kanisani Kwao kwa Rafiki yake mkubwa Chata na Tandale kwa Masela wake akina Dula, Zubery na Taita tukisikia uwezekano wa kwenda Yanga SC hatushangai kwani kila Akilewa Pombe na Mjiti wake husema kwa Sauti Kubwa kuwa lazima kabla ya Kustaafu kucheza Soka akacheze Yanga SC ili amfurahishe Mama yake Mzazi ambaye ni mwana Yanga SC lia lia.
Kwa faida yenu Jonas Mkude Siku nyingi ( Miaka mingi ) alikuwa akitaka kwenda Yanga SC ila aliyekuwa akimuogopa ni Marehemu Baba yake Mzazi ambaye alikuwa ni mwana Simba SC kindaki ndaki.
Kipindi Marehemu Baba yake anaugua wakati anakaribia Kufariki akiwa Mkoani Morogoro alimuita Mwanae Jonas Gerald Mkude pamoja na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Simba SC kipindi hicho Godfrey Nyange 'Kaburu' na Mmoja wa Waanzilishi wa Kundi la Friends of Simba Marehemu Zackaria Hanspoppe ambapo Marehemu Baba yake mbele yao alimwambia Mwanae Jonas kuwa aiheshimu sana Simba SC, wana Simba SC na Viongozi wa Simba SC kwani wamemjali mno japo hana Elimu Kubwa, wamemjengea Nyumba, wamempa Gari na wanamtunza Yeye Baba yake kipindi ambapo anaumwa hivyo Asante yake kwa Simba SC ni kwa Jonas Gerald Mkude kuendelea Kuichezea tu Simba SC na si kwenda Kwingineko.
Akienda Yanga SC laana hazimuachi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani umuache Morrison halafu ukaribishe wahuni wengine hivi mnaona Yanga hii haiko serious kama Simba?
Ha ha ha ha samalekoYani umuache Morrison halafu ukaribishe wahuni wengine hivi mnaona Yanga hii haiko serious kama Simba?
Wewe bana ha ha ha uaYanga sio jalala
Sizitaki mbichi hizi.😀😀Ha ha ha ha samaleko
Jana vipi? Uwe unaacha kuropokaYani umuache Morrison halafu ukaribishe wahuni wengine hivi mnaona Yanga hii haiko serious kama Simba?
SamalekooYani umuache Morrison halafu ukaribishe wahuni wengine hivi mnaona Yanga hii haiko serious kama Simba?
Anawasubili jumamosi mpaka mseme Kwa nini mlimuacha yeye na kusajiri magarasa.Samalekoo
mjifunze kupiga kimya sio kuongea ongea..Anawasubili jumamosi mpaka mseme Kwa nini mlimuacha yeye na kusajiri magarasa.
Sasa hivi Mkude ameprove yuko fit, tunamuani tayari Kwa derby.
Tutapiga punyeto.mjifunze kupiga kimya sio kuongea ongea..