Mkude akienda Yanga SC atakuwa ametimiza Mambo haya makubwa Mawili ambayo wengi wenu mlikuwa hamuyajui

Siku nyingi sana na hapa JamiiForums ( walio wengi watashuhudia kwa akina Tomaso waliojazana ) GENTAMYCINE nilisema kuwa kama kuna Mchezaji ambaye si tu ninammudu bali pia namjua ndani nje kwakuwa kakua namuona ni Jonas Gerald Mkude.

Na ndiyo maana baada ya Leo kusikia kuwa ana Uwezekano wa kwenda Yanga SC niliwashangaa mno wana Simba SC ambao wameogopa na Kuhoji kwanini Kaachwa.

Leo GENTAMYCINE nitasema hapa Mambo Mawili tu kumhusu Mkude ambayo nina uhakika nayo kwa 100% na nayaandika hapa huku nikijiamini nayo kabisa.

1. Jonas Gerald Mkude ni mwana Yanga SC 100% ila alikuwa ni mwana Simba SC kwa Usoni tu na Kumridhisha Rafiki yake mkubwa Mwekezaji Mo Dewji ( kutokana na Kumfanyia Biashara moja hivi yenye Utajiri wa haraka ) miaka ya nyuma na pia Kumridhisha Kocha aliyemuibua Utotoni na mwana Simba SC Selemani Matola na Meneja Patrick Rweymamu.

2. Kwa tuliokuwa na mpaka leo tunashinda na Kukutana nae mara kwa mara Maskani za Kawe kwa Rafiki yake mkubwa Pazi, Kinondoni Kanisani Kwao kwa Rafiki yake mkubwa Chata na Tandale kwa Masela wake akina Dula, Zubery na Taita tukisikia uwezekano wa kwenda Yanga SC hatushangai kwani kila Akilewa Pombe na Mjiti wake husema kwa Sauti Kubwa kuwa lazima kabla ya Kustaafu kucheza Soka akacheze Yanga SC ili amfurahishe Mama yake Mzazi ambaye ni mwana Yanga SC lia lia.

Kwa faida yenu Jonas Mkude Siku nyingi ( Miaka mingi ) alikuwa akitaka kwenda Yanga SC ila aliyekuwa akimuogopa ni Marehemu Baba yake Mzazi ambaye alikuwa ni mwana Simba SC kindaki ndaki.

Kipindi Marehemu Baba yake anaugua wakati anakaribia Kufariki akiwa Mkoani Morogoro alimuita Mwanae Jonas Gerald Mkude pamoja na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Simba SC kipindi hicho Godfrey Nyange 'Kaburu' na Mmoja wa Waanzilishi wa Kundi la Friends of Simba Marehemu Zackaria Hanspoppe ambapo Marehemu Baba yake mbele yao alimwambia Mwanae Jonas kuwa aiheshimu sana Simba SC, wana Simba SC na Viongozi wa Simba SC kwani wamemjali mno japo hana Elimu Kubwa, wamemjengea Nyumba, wamempa Gari na wanamtunza Yeye Baba yake kipindi ambapo anaumwa hivyo Asante yake kwa Simba SC ni kwa Jonas Gerald Mkude kuendelea Kuichezea tu Simba SC na si kwenda Kwingineko.

Akienda Yanga SC laana hazimuachi.
ila nimeambiwa yanga wamekataa kumsajili
 
Kumuacha Mtukutu ( Muhuni, Mvuta Bangi na Mlevi ) Bernard Morisson na Kumsajili Pacha wake wa hizo tabia Jonas Mkude si tu ni Upumbavu bali ni Utaahira pia.

Na bahati nzuri Wote hawa ni Wana ( Washkaji ) ambao Jumamosi na Jumapili ukiwakosa Juliana Pub na Beach Kidimbwi wakigombania Malaya wa pale njoo Unitahiri mara ya Pili GENTAMYCINE.
 
ila nimeambiwa yanga wamekataa kumsajili
Vyanzo vyangu vimeniambia kuna 85% ya Yeye Kusajiliwa na Yanga SC na si kwamba Kocha wao Mkuu mpya Gamondi 'Bichwa Kipara' kamtaka au anamjua bali ni kutaka tu Kuwakoga ( Kuwaumiza ) Roho wana Simba SC.
 
Siku nyingi sana na hapa JamiiForums ( walio wengi watashuhudia kwa akina Tomaso waliojazana ) GENTAMYCINE nilisema kuwa kama kuna Mchezaji ambaye si tu ninammudu bali pia namjua ndani nje kwakuwa kakua namuona ni Jonas Gerald Mkude.

Na ndiyo maana baada ya Leo kusikia kuwa ana Uwezekano wa kwenda Yanga SC niliwashangaa mno wana Simba SC ambao wameogopa na Kuhoji kwanini Kaachwa.

Leo GENTAMYCINE nitasema hapa Mambo Mawili tu kumhusu Mkude ambayo nina uhakika nayo kwa 100% na nayaandika hapa huku nikijiamini nayo kabisa.

1. Jonas Gerald Mkude ni mwana Yanga SC 100% ila alikuwa ni mwana Simba SC kwa Usoni tu na Kumridhisha Rafiki yake mkubwa Mwekezaji Mo Dewji ( kutokana na Kumfanyia Biashara moja hivi yenye Utajiri wa haraka ) miaka ya nyuma na pia Kumridhisha Kocha aliyemuibua Utotoni na mwana Simba SC Selemani Matola na Meneja Patrick Rweymamu.

2. Kwa tuliokuwa na mpaka leo tunashinda na Kukutana nae mara kwa mara Maskani za Kawe kwa Rafiki yake mkubwa Pazi, Kinondoni Kanisani Kwao kwa Rafiki yake mkubwa Chata na Tandale kwa Masela wake akina Dula, Zubery na Taita tukisikia uwezekano wa kwenda Yanga SC hatushangai kwani kila Akilewa Pombe na Mjiti wake husema kwa Sauti Kubwa kuwa lazima kabla ya Kustaafu kucheza Soka akacheze Yanga SC ili amfurahishe Mama yake Mzazi ambaye ni mwana Yanga SC lia lia.

Kwa faida yenu Jonas Mkude Siku nyingi ( Miaka mingi ) alikuwa akitaka kwenda Yanga SC ila aliyekuwa akimuogopa ni Marehemu Baba yake Mzazi ambaye alikuwa ni mwana Simba SC kindaki ndaki.

Kipindi Marehemu Baba yake anaugua wakati anakaribia Kufariki akiwa Mkoani Morogoro alimuita Mwanae Jonas Gerald Mkude pamoja na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Simba SC kipindi hicho Godfrey Nyange 'Kaburu' na Mmoja wa Waanzilishi wa Kundi la Friends of Simba Marehemu Zackaria Hanspoppe ambapo Marehemu Baba yake mbele yao alimwambia Mwanae Jonas kuwa aiheshimu sana Simba SC, wana Simba SC na Viongozi wa Simba SC kwani wamemjali mno japo hana Elimu Kubwa, wamemjengea Nyumba, wamempa Gari na wanamtunza Yeye Baba yake kipindi ambapo anaumwa hivyo Asante yake kwa Simba SC ni kwa Jonas Gerald Mkude kuendelea Kuichezea tu Simba SC na si kwenda Kwingineko.

Akienda Yanga SC laana hazimuachi.
rafiki mkude ana umri gani?
 
Huyu ndio Genta sasa ninayemjua mimi kwenye ubora wake uliotukuka
 
Tupe madini Genta hii ndio maana ya Great Thinker mara nyingi unachosema kina kuwa kweli hapa nimekuelewa hata manula mm nina wasi wasi nae embu fatilia hili mkuu
Kabisa kwa Manula mm sijawahi kumuelewa ana uyanga flani yule si unaona mechi ya juzi hajacheza tumewakojolea uto mbili safi ila kama angecheza manula ungesikia 2 kwa 2 yaan watu wakipiga mbali Imoo shenzi kabisa manula kama tunapat kipa mzuri asepe tu 😁 😁 😁 😁
 
Siku nyingi sana na hapa JamiiForums ( walio wengi watashuhudia kwa akina Tomaso waliojazana ) GENTAMYCINE nilisema kuwa kama kuna Mchezaji ambaye si tu ninammudu bali pia namjua ndani nje kwakuwa kakua namuona ni Jonas Gerald Mkude.

Na ndiyo maana baada ya Leo kusikia kuwa ana Uwezekano wa kwenda Yanga SC niliwashangaa mno wana Simba SC ambao wameogopa na Kuhoji kwanini Kaachwa.

Leo GENTAMYCINE nitasema hapa Mambo Mawili tu kumhusu Mkude ambayo nina uhakika nayo kwa 100% na nayaandika hapa huku nikijiamini nayo kabisa.

1. Jonas Gerald Mkude ni mwana Yanga SC 100% ila alikuwa ni mwana Simba SC kwa Usoni tu na Kumridhisha Rafiki yake mkubwa Mwekezaji Mo Dewji ( kutokana na Kumfanyia Biashara moja hivi yenye Utajiri wa haraka ) miaka ya nyuma na pia Kumridhisha Kocha aliyemuibua Utotoni na mwana Simba SC Selemani Matola na Meneja Patrick Rweymamu.

2. Kwa tuliokuwa na mpaka leo tunashinda na Kukutana nae mara kwa mara Maskani za Kawe kwa Rafiki yake mkubwa Pazi, Kinondoni Kanisani Kwao kwa Rafiki yake mkubwa Chata na Tandale kwa Masela wake akina Dula, Zubery na Taita tukisikia uwezekano wa kwenda Yanga SC hatushangai kwani kila Akilewa Pombe na Mjiti wake husema kwa Sauti Kubwa kuwa lazima kabla ya Kustaafu kucheza Soka akacheze Yanga SC ili amfurahishe Mama yake Mzazi ambaye ni mwana Yanga SC lia lia.

Kwa faida yenu Jonas Mkude Siku nyingi ( Miaka mingi ) alikuwa akitaka kwenda Yanga SC ila aliyekuwa akimuogopa ni Marehemu Baba yake Mzazi ambaye alikuwa ni mwana Simba SC kindaki ndaki.

Kipindi Marehemu Baba yake anaugua wakati anakaribia Kufariki akiwa Mkoani Morogoro alimuita Mwanae Jonas Gerald Mkude pamoja na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Simba SC kipindi hicho Godfrey Nyange 'Kaburu' na Mmoja wa Waanzilishi wa Kundi la Friends of Simba Marehemu Zackaria Hanspoppe ambapo Marehemu Baba yake mbele yao alimwambia Mwanae Jonas kuwa aiheshimu sana Simba SC, wana Simba SC na Viongozi wa Simba SC kwani wamemjali mno japo hana Elimu Kubwa, wamemjengea Nyumba, wamempa Gari na wanamtunza Yeye Baba yake kipindi ambapo anaumwa hivyo Asante yake kwa Simba SC ni kwa Jonas Gerald Mkude kuendelea Kuichezea tu Simba SC na si kwenda Kwingineko.

Akienda Yanga SC laana hazimuachi.
huyo kocha aliyemuibua mkude aliridhishwa nini na mkude
 
Unamuacha Morison halafu unamkaribisha Mkude[emoji23]
 
Back
Top Bottom