Waliomsajili ndio wanajua anakwenda kuwaweka benchi atakaowakuta. Hakuna kocha anayesajili mchezaji tena mkongwe ili akakae benchi, labda angekuwa kijana unaweza kusema amemchukua ili ajifunze taratibu. Aucho, Mudathir, Mauya na Sure Boy wote wanaenda kusubiri benchi labda nungunungu aumie, jambo ambalo si rahisi