Mkude anaenda kumuweka nani benchi katika kikosi cha yanga?

Mkude anaenda kumuweka nani benchi katika kikosi cha yanga?

Mwanadiplomasia Mahiri

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
491
Reaction score
1,907
Mkude ni kiungo namba 6. Amesajiliwa yanga baada ya kumaliza mkataba wake na Simba.

Yanga ni timu yenye utajiri wa viungo. Hivyo kuna ushindani mkubwa wa namba.

Mkude anaenda kuchukua namba ya nani kikosini yanga?
 
Hamna huo utajiri mkuu si unaona mudathiri kaingia moja kwa moja mauya na mwenzie babu kaju wakiwepo ndivyo itakavyokuwa kwa mkude huyo ni direct anaingia
 
Mkude ni kiungo namba 6. Amesajiliwa yanga baada ya kumaliza mkataba wake na Simba. Yanga ni timu yenye utajiri wa viungo. Hivyo kuna ushindani mkubwa wa namba. Mkude anaenda kuchukua namba ya nani kikosini yanga?
Waliomsajili ndio wanajua anakwenda kuwaweka benchi atakaowakuta. Hakuna kocha anayesajili mchezaji tena mkongwe ili akakae benchi, labda angekuwa kijana unaweza kusema amemchukua ili ajifunze taratibu. Aucho, Mudathir, Mauya na Sure Boy wote wanaenda kusubiri benchi labda nungunungu aumie, jambo ambalo si rahisi
 
Usajili wa kisiasa
 
Back
Top Bottom