Sonko Bibo
JF-Expert Member
- May 24, 2019
- 1,181
- 1,839
😂"to behavioral economists however, freedom has a cost, and it is paid by individuals who make bad decisions and the society that feels obliged to help them."
We pokea maua yako kimya kimya hatupo hapa kupingwa au hata fuvu lako halielewi dhima ya andiko?It's either of the two
1. You are victim (pole kama umeachwa, watu wema nyingi hugharikia wema wao )
2. You would like to be the woman in the picture.
Ahsante mkuu acha tuwakumbuke The unsung heroes.Andiko zuri, chukua maua yako.
Inatakiwa aliwazwe na kusifiwa kwa moyo wa huruma na uthubutu wa ajabu,,Aliyelipwa mabaya inatakiwa asimangwe...
😁🤣🤣Ahsante mkuu acha tuwakumbuke The unsung heroes.
Wanawake wote duniani hutamani wampate mwanaume ambae hapa duniani kimsingi bado hajatokea kabisa.Asante kwa kutukumbushia makubaliano ya kikao
Haya DHARAU, KEJELI, MASIMANGO mara zote ndio huwa MALIPO ya watu wa aina hio.1. Ninyi ambao mlijitoa kuwatunza watoto wa wanaume wengine — bila kinyongo, bila malalamiko — lakini mwisho wa safari mkalipwa dharau, kejeli na masimango...
Pongezi nyingi kwenu.
Niggas wanachukua maua yao kimya kimya acha kuwazodoa mimi nimewaita waje hapa wachukue maua yao kimya kimya,,Haya ndio huwa MALIPO ya watu wa aina hio.
Kama humu Jukwaani yupo Lofa wa design hii, Basi usijione special sana au wewe ni wapekee Mungu amekuchagua.
Nakukumbusha tu kuwa ni swala la muda nawewe hizi story utazishuhudia kwa vitendo, Be patient.
Be a Man, Mwanaume siku zote unaanzisha Familia na sio kujiunga kwenye Familia.
mkuu wanaume tunajitoa kwa mengi sana. ila afanye kitu kidogo mwanamke itafahamu dunia nzima. mioyoni mwa wanaume wengi kuna mengi yaliyojificha kuhusu mapambano ya kimaisha.[emoji23]"to behavioral economists however, freedom has a cost, and it is paid by individuals who make bad decisions and the society that feels obliged to help them."
Natafuta Ajira Zemanda Xi JinpingWasalaam tena,
1. Ninyi ambao mlijitoa kuwatunza watoto wa wanaume wengine — bila kinyongo, bila malalamiko — lakini mwisho wa safari mkalipwa dharau, kejeli na masimango...
Pongezi nyingi kwenu.
Msingeweza, lakini mlijaribu. Dunia inaweza kusahau, lakini dhamira zenu zinastahili heshima.
2. Ninyi ambao mlisimama kama nguzo kwa wanawake waliowaahidi tu “nakupenda, sitakuacha, tutazaa pamoja,” mkakutana njiani, mkakuta watoto tayari wapo...
Hamtukana, hamkatai, mkawapokea, mkawapenda, mkawafungulia wake zenu biashara kubwa — hata kwa kodi za maeneo ambayo hata kwa kurunzi ya Mungu huwezi kuona faida.
Pengine ilikuwa ni juhudi zenu za kuwadhibiti wasije wakaliwa na wanaume wasioendana na hadhi yenu.
Lakini wakatumia mwanya wa biashara kujiuza na kuchafua hadhi yenu.
Mwisho wakanawa mikono, wakawaona ninyi si wapenzi tena bali "masponsa."
Pongezi kwenu.
3. Ninyi mliojitahidi kwa moyo wote kuwasomesha wake zenu, kuwaendeleza kielimu, kuwajengea ndoto mpya ili msaidie hata kutokomeza umasikini ukweni...
Mkitegemea mkifika kwa wakwe mnakuta mazingira ya heshima, hadhi, na mabadiliko.
Lakini mlisahau kwamba wale wakwe walishapokea mahari zaidi ya mara mbili kutoka kwa wanaume waliowatangulia, ambao waliamua kuondoka kwa sababu zao.
Pengine walikuwa na uwezo mkubwa zaidi — lakini wakasema: "Haya mambo ni shobo, haya ni mateso."
Pongezi kwenu.
Wengine wataongeza na kuchangia nyama.
Kwa sasa, pongezini wanaume waliowahi kujitoa kwa upendo wa kweli, wakapambwa kwa upotevu wa kweli.
By: SONKO
Mkuu hapa kwenye kumuajiri si ndio atasepa na kijiji kabisa?Hao ndio wanaume mabwege kabisa
Hivi kweli mwanaume unaamua kulea bao la mwanaume mwenzako kama sio usenge ni nini?
Wazazi ndio wenye jukumu la kusomesha binti yao usijipe umuhimu kwenye majukumu yasiyokuhusu
Mwanamke hafunguliwi biashara bali unamuajiri kwenye biashara yenye jina lako na si business partner
Mkuu hapa kwenye kumuajiri si ndio atasepa na kijiji kabisa?