Sonko Bibo
JF-Expert Member
- May 24, 2019
- 1,181
- 1,839
- Thread starter
- #21
Well noted mkuu,Ukimwajiri akizingua unampiga chini kama mfanyakazi mwingine
Ila kumfungulia biashara ni kumpa umiliki
Sasa hapo unakuwa unamlipa mshahara kabisa au structure yake inakuwaje mkuu?