Mkulima wa kisasa Galus Msekwa anayeendesha kilimo kwa utaalamu wa juu avutia wanunuzi toka mbali kama miji ya Nairobi na Mombasa. Mtangazaji Captain Gadner Habash alifika katika shamba hilo la mkulima na kufanya naye mahojiano exclusive na kituo cha Televisheni cha Clouds cha jijini Dar es Salaam, Tanzania.
Source: CLOUDSMEDIA
Source: CLOUDSMEDIA